Mama Kikwete ahimiza wanafunzi wa kike wa vyuo vya ualimu kuvaa mavazi ya heshima
![](http://4.bp.blogspot.com/-O_6rE65Cxvg/U9TeL84kpaI/AAAAAAAF7Ac/Gletc3K00JM/s72-c/salma-pps.jpg)
Na Anna Nkinda - Maelezo, Nachingwea
Wanafunzi wa kike wa vyuo vya ualimu nchini wametakiwa kuvaa mavazi nadhifu yanayoendana na maadili ya kazi yao ili wanafunzi na jamii inayowazunguka ijifunze kutoka kwao kwani wao ni kioo cha jamii.
Mwito huo umetolewa hivi karibuni na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kike wa chuo cha Ualimu Nachingwea mara baada ya kumalizika kwa futari aliyoiandaa kwa ajili ya viongozi wa wilaya iliyofanyika chuoni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo28 Jul
Wanafunzi vyuo vya Ualimu wafundwa
WANAFUNZI wa kike wa vyuo vya Ualimu nchini wametakiwa kuvaa mavazi nadhifu yanayoendana na maadili ya kazi yao ili jamii inayowazunguka ijifunze kutoka kwao kwani wao ni kioo cha jamii.
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Ada vyuo vya ualimu yapanda maradufu
10 years ago
Vijimambo27 Mar
TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.
Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...
11 years ago
Habarileo03 May
Kozi mbili mpya zaanzishwa vyuo vya ualimu
SERIKALI imeanzisha kozi mbili mpya katika vyuo vya ualimu, ikiwemo kozi ya stashahada itakayowawezesha walimu wa shule za msingi kujiendeleza hatua kwa hatua.
10 years ago
Michuzi07 Sep
MAJINA YA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015
![](https://2.bp.blogspot.com/-0K5mxgR72u4/U1gapBhrF_I/AAAAAAAAADA/gtyATFFYoAM/s1600/nembo%2B3_thumb%5B1%5D.png)
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWAKA WA MASOMO 2014/2015
MAELEKEZO:Waombaji waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa
masomo 2014/2015 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo walivyopangiwa
tarehe 06/10/2014. Fomu za maelekezo (Joining Instructions) zitatolewa
na chuo husika na zitatumwa kwa waliochaguliwa tu. Waliochaguliwa
wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa na mahitaji yaliyoainishwa kwenye fomu
ya...
10 years ago
MichuziUNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU
Na Geofrey Adroph, Pamoja blog
UNESCO imeaandaa mafunzo ya uboreshaji wa elimu kwa walimu hususani katika somo la Tehama kwa vyuo mbalimbali vya hapa nchini vinavyotoa elimu ya ualimu. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania yamefanyika katika chuo cha Dar es Salaam Institute of...