Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ada vyuo vya ualimu yapanda maradufu

>Serikali imepandisha maradufu ada kwa wanafunzi wanaosomea ualimu kwenye vyuo vya ualimu nchini kuanzia muhula ujao wa masomo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi vyuo vya Ualimu wafundwa

Mke wa Rais, Mama Salma KikweteWANAFUNZI wa kike wa vyuo vya Ualimu nchini wametakiwa kuvaa mavazi nadhifu yanayoendana na maadili ya kazi yao ili jamii inayowazunguka ijifunze kutoka kwao kwani wao ni kioo cha jamii.

 

11 years ago

Habarileo

Kozi mbili mpya zaanzishwa vyuo vya ualimu

SERIKALI imeanzisha kozi mbili mpya katika vyuo vya ualimu, ikiwemo kozi ya stashahada itakayowawezesha walimu wa shule za msingi kujiendeleza hatua kwa hatua.

 

10 years ago

Michuzi

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015



WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWAKA WA MASOMO 2014/2015
MAELEKEZO:Waombaji waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa
masomo 2014/2015 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo walivyopangiwa
tarehe 06/10/2014. Fomu za maelekezo (Joining Instructions) zitatolewa
na chuo husika na zitatumwa kwa waliochaguliwa tu. Waliochaguliwa

wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa na mahitaji yaliyoainishwa kwenye fomu
 ya...

 

10 years ago

Michuzi

UNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU

Godfrey Haongo mkufunzi kutoka Open University nchini Tanzania akitoa elimu ya njia ya mtandao.  Baadhi ya walimu wanaoshiriki mafunzo hayo.
Na Geofrey Adroph, Pamoja blog
UNESCO imeaandaa mafunzo ya uboreshaji wa elimu kwa walimu hususani katika somo la Tehama kwa vyuo mbalimbali vya hapa nchini vinavyotoa elimu ya ualimu. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania yamefanyika  katika chuo cha Dar es Salaam Institute of...

 

10 years ago

Dewji Blog

UNESCO watoa mafunzo ya Tehama kwa walimu wa vyuo vya ualimu nchini

DSC_0449

Head of India Tanzania Center of Excellence in ICT (DIT), Dr. Amos Nungu akiwakaribisha wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), wakufunzi pamoja na walimu waliofika kwenye mafunzo ya elimu  kwa njia ya mtandao.(Picha zote na Geofrey Adroph wa pamoja blog).

Afisa mipango kutoka UNESCO, Bi Faith Shayo akimkaribisha Ofisa anayeshughulikia na masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmari (wa kwanza kutoka kushoto) wakati wa ufunguzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete ahimiza wanafunzi wa kike wa vyuo vya ualimu kuvaa mavazi ya heshima

Na Anna Nkinda - Maelezo,  Nachingwea
Wanafunzi wa kike wa vyuo vya ualimu nchini wametakiwa kuvaa mavazi  nadhifu  yanayoendana na maadili ya kazi yao  ili wanafunzi na jamii inayowazunguka ijifunze  kutoka kwao kwani wao ni kioo cha jamii.
Mwito huo umetolewa  hivi karibuni  na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kike  wa chuo cha Ualimu Nachingwea mara  baada ya kumalizika kwa futari aliyoiandaa kwa ajili ya viongozi wa wilaya iliyofanyika  chuoni...

 

10 years ago

Vijimambo

UNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU HAPA NCHINI

 Head of India Tanzania Center of Excellence in ICT (DIT), Dr. Amos Nungu akiwakaribisha wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), wakufunzi pamoja na walimu waliofika kwenye mafunzo ya elimu kwa njia ya mtandao.(Picha zote na Geofrey Adroph wa pamoja blog). Afisa mipango kutoka UNESCO, Bi Faith Shayo akimkaribisha Ofisa anayeshughulikia na masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmari (wa kwanza kutoka kushoto) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Majaliwa afungua mafunzo ya haki za binadamu kwa walimu, wakaguzi na wakufunzi wa vyuo vya ualimu

DSC_0838

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM) – TAMISEMI (Elimu), Mhe. Kassim Majaliwa (MB) akifungua warsha ya mafunzo ya haki za binadamu kwa walimu wa shule za Sekondari, wakaguzi wa shule na wakufunzi wa vyuo vya ualimu katika hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana. Mafunzo hayo yameandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kwa ushirikiano na Wizara ya Elimu chini ya Mradi wa utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na kufadhiliwa na UNDP....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani