Tusisahau, mavazi haya yanaakisi pia utu wetu
Kwa wiki mbili mfululizo nimegeuka na pengine kuwa kungwi, manju hasa kutokana na mada hii ya mavazi yenye staha au yasiyo na maadili ambayo nimekuwa nikiidurusu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
Kajala: Mavazi ya Mama Haya Halibu Tabia ya Mtoto!!
"Naomba niwaulize binadamu alie kwambia mimi nikivaa hivi nitamuhalibu mtoto nani ? acheni akili za kijinga kwasababu wengi wetu tunajua kabisa mtoto hawi na tabia mbaya kwasababu anamuona mama yake kavaa dira au tumbo wazi sisi zamani wazazi wetu walikuwa wanavaa hivi lakini mbona tuliwasumbua mnaboa na kukera pia kama mtoto wangu atahalibika kisa kaniona mimi nimevaa tumbo wazi utakuwa ni umbumbu wake na ujinga wake lakini sidhani kama mavazi yanamualibu mtoto naisi nimalezi peke yake...
9 years ago
Bongo530 Dec
Picha: Mavazi haya yawatokea puani Sauti Sol, yafanya Wakenya wawaite ‘mashoga’
![Sauti sol3](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Sauti-sol3-300x194.jpg)
Kundi la Sauti Sol la nchini Kenya limejikuta likikabiliana na mashambulizi kutoka kwa mashabiki wao, baada ya kutinga mavazi ambayo yameleta tafsiri tofauti kiasi cha kusababisha wengi wazungumzie zaidi mavazi tena kwa mtazamo hasi, badala ya onesho walilofanya.
Mashabiki wa muziki wa Kenya wameyabatiza jina mavazi hayo na kuyaita ‘mavazi ya neti za mbu’, na wengine kudiriki hata kusema yamefanya waonekanae kama ‘mashoga’.
Mavazi hayo waliyavaa kwenye onesho la Mega Party Shanzu Teachers...
10 years ago
Vijimambo03 Nov
MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-kgAlxp3hAM0/VM6FdXcFbrI/AAAAAAADXBQ/LdRjtGLdBPw/s72-c/PeterKazaura.jpg)
Makamo mwenyekiti wa UTU kuwasili Tanzania
![](http://3.bp.blogspot.com/-kgAlxp3hAM0/VM6FdXcFbrI/AAAAAAADXBQ/LdRjtGLdBPw/s1600/PeterKazaura.jpg)
Mazungumzo hayo yatalenga upatikanaji wa Fursa zilizopo Tanzania kwa Diaspora. akiendelea kueleza msemaji wa Umoja huo...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Utu ni zaidi ya fedha na mali zako
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lxhUapSiy4Y/XkWhfJOiV2I/AAAAAAAAQMo/-tfdXRdCFTAJEDznPs85ZaT7lpVJEvzcQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200213-WA0107.jpg)
UKEKETAJI HUONDOA UTU NA HADHI YA MWANAMKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-lxhUapSiy4Y/XkWhfJOiV2I/AAAAAAAAQMo/-tfdXRdCFTAJEDznPs85ZaT7lpVJEvzcQCLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200213-WA0107.jpg)
Jamii imetakiwa kuondoka na na dhana potofu ya kumkeketa mtoto wa kike na kumuondolea hadhi na utu wake kama Mungu alivyomuumba badala yake wabadilike na kukemea kitendo hicho kwani ni ukiukaji wa haki za kibinadamu
Ukeketaji unawaathiri wasichana na wanawake kwa asilimia kubwa pia kitendo hicho kinadhoofisha uchumi pamoja na nguvu kazi, unaathiri afya ya mwili na akili za kwa wanawake wanaokeketwa hivyo jamii inapaswa kuungana ili kupinga kitendo hicho
Hayo yamesemwa na...
11 years ago
BBCSwahili03 Aug
Shambulio lakiuka utu, asema Ban Ki Moon
9 years ago
Bongo514 Sep
Music: Nakaaya Ft. Dunga — Utu Uzima Dawa
9 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-Gn81yuHc3aA/VfQDrWiMyFI/AAAAAAAADfc/bjaKi3j-TX4/s72-c/utu%2Buzima%2Bartwork.png)
NEW MUSIC: NAKAAYA - UTU UZIMA DAWA ft. DUNGA (Download)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Gn81yuHc3aA/VfQDrWiMyFI/AAAAAAAADfc/bjaKi3j-TX4/s640/utu%2Buzima%2Bartwork.png)
"Its a song expressing my freedom from the chains that held me back as a woman and an individual. Its a song reminding me of my mothers advice.It does not matter how many times or how hard you fall. Its how you get yourself back up. I am now a proud single mom, happy and thankful to have and to raise my soldier alone. In truth utu uzima dawa. You live and you learn."- Nakaaya
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain...