Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UHUSIKA WA WAZAZI HUSABABISHA MTOTO AWE GUMEGUME AU GUBEGUBE KATIKA MAPENZI -5

KUTOKA mwanzo wa makala haya mpaka hapa tulipofikia, sina shaka utakuwa umeshatambua namna ambavyo uhusika wa wazazi unavyoweza kuwafanya watoto wao kuwa ama magubegube au magumegume katika mapenzi. Kutoka hapo, sasa tuhitimishe mambo machache kwa kupeana maelekezo ya kimsingi ambayo yanaweza kukusaidia katika maisha yako ya kimapenzi hata kama ulipata muongozo wa ovyo kutoka kwa wazazi wako. Haishindikani wewe kuwa bora hata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UHUSIKA WA WAZAZI HUSABABISHA MTOTO AWE GUMEGUME AU GUBEGUBE KATIKA MAPENZI -4

KWANZA tuwe tumeshakubaliana na ukweli kwamba mzazi ni kichocheo cha mtoto kuwa mhusika bora katika mapenzi, baada ya hapo tutakuwa na mawazo yanayoshabihiana kwamba gubegube au gumegume mara nyingi ni matokeo ya malezi mabaya. Tuendelee kutoka hapohapo, sasa ni muongozo kwako kuwa haina maana kuwa unaweza kusamehewa na kuachwa kama ulivyo eti kisa ndivyo ulivyolelewa. Nani atakukubali kama wewe ni mzigo usiobebeka? Tafakari...

 

11 years ago

Mwananchi

Nafasi ya wazazi katika mavazi ya mtoto

Katika maisha ya familia ndani ya jamii ni muhimu kwa mzazi kujenga utamaduni wa kumfunza watoto wako namna bora ya uvaaji.

 

10 years ago

Bongo5

Wazazi katika shule anayosoma mtoto wa Beyonce na Jay Z walalamika, fahamu ni kwanini!

Kwa mujibu wa ripoti, wazazi kwenye shule ya awali anayosoma mtoto wa Jay Z na Beyonce huko Hollywood nchini Marekani wanachukizwa na kitendo cha Blue Ivy kupelekwa na kuchukuliwa na magari mawili na bodyguards wawili kila siku. Wazazi hao wamedai kuwa kila anapoletwa au kuchukuliwa mtoto mwingine eneo hilo hugeuka kuwa na kero kubwa. Vyanzo […]

 

9 years ago

GPL

JOKATE: WAZAZI WASIINGILIE MAPENZI YA WATOTO

Brighton Masalu SIKU chache baada ya gazeti dada ya hili la Ijumaa Wikienda kuripoti juu ya wazazi wa Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kumkataa Ali Kiba kama mchumba wake, binti huyo ameibuka na kuwataka wazazi kote nchini kuacha kuwaingilia watoto wao katika masuala ya kimapenzi, akidai jambo hilo ni vema wakiachiwa wenyewe.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1LiDARr ...

 

10 years ago

Bongo5

Amini: Nataka mke wangu ajifungue mtoto wa kiume ili awe mwanasheria

Msanii wa muziki Amini ambaye mke wake ni mjamzito amesema kuwa anaomba mke wake ajifungue mtoto wa kiume ili mwanae aje kuwa mwanasheria na sio mwanamuziki. Katikati ni msanii wa muziki Amini akiwa na mke wake pamoja na mtu wao wa karibu Akizungumza na waandishi wa habari katika sherehe za kuagwa na wanafunzi wenzake wa […]

 

10 years ago

BBCSwahili

UK yapitisha Sheria ya mtoto wa wazazi 3

Uingereza imekuwa nchi ya kwanza kuidhinisha sheria itakayorusu uzaaji wa watoto wenye vinasaba, DNA kutoka kwa watu watatu

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Mimi Reppyson Ishababaki na mke wangu Elida Fundi. Tunapenda kutoa taarifa ya kupotea kwa mtoto wetu kipenzi Meryline Reppyson. Ameibiwa jana jioni na mtu tusiyemfahamu na hatujampata mpaka sasa hivi.
 Tunawaomba Watanzania na watu wote mtusaidie kumtafuta mtoto wetu. Maneno yanayosemwa kwamba kachukuliwa na baba yake si ya kweli kwani mimi ndiye baba yake mzazi na tunaishi pamoja na mke wangu. 
Asanteni sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.

 

10 years ago

Habarileo

'Wazazi zingatieni haki za mtoto'

WAZAZI na walezi wa watoto wamehimizwa kuzingatia haki za mtoto katika malezi yao kuanzia ngazi ya familia kwa kuwapa stahili zote muhimu zinazotajwa katika Katiba, sheria na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeiridhia.

 

9 years ago

Michuzi

MTOTO HUYU ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

MWANAFUNZI Evelina Edwin Kazaura (13), (pichani) wa shule ya msingi Dodoma mlimani, Manispaa ya Dodoma amepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Kwa mujibu wa mzazi wa mwanafunzi huyo, Joyce Nchimbi, alisema mtoto huyo alitoweka nyumbani miezi mitatu iliyopita akiwa amevaa nguo hiyo.
Alisema mara ya mwisho alionekana mitaa ya Railways akiwa na wanafunzi wenzake lakini baada ya hapo hajaonekana tena.
Joyce alisema juhudi za kumtafuta mtoto huyo kwa ndugu na jamaa hazikufanikiwa na kutoa taarifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani