Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN yaisifu Tanzania kuwa mstari wa mbele kutetea albino

UN 12

Baadhi ya watu wenye ulemavu wakipita na mabango yenye ujumbe katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha kwa  maandamano kwenye maadhimisho ya Siku yao ambayo inalenga kutoa elimu ya kupinga matendo maovu wanayofanyiwa na watu wenye nia mbaya.(Picha na modewjiblog)

Na Mwandishi wetu, Arusha

MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mkurugenzi wa Shirika la Mpango wa maendeleo (UNDP) nchini,  Alvaro Rodgriguez amepongeza Tanzania kwa kuwa mstari wa mbele kushawishi dunia siku ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UN YAISIFU TANZANIA KUWA MSTARI WA MBELE KUTETEA ALBINO‏

Baadhi ya watu wenye ulemavu wakipita na mabango yenye ujumbe katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha kwa maandamano kwenye maadhimisho ya Siku yao ambayo inalenga kutoa elimu ya kupinga matendo maovu wanayofanyiwa na watu wenye nia mbaya. Baadhi ya watu wenye ulemavu wakipita na mabango yenye ujumbe katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha kwa… ...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWATAKA VIONGOZI KUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUTENDA HAKI MUFINDI


 
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wananchi wa Mafinga wakati akiwasili kwenye uwanja wa Mashujaa .
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana na Bi.Mwigavillo Ngole ambaye amesafiri mwendo mrefu kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM
 Wazee wa Kimila wakiwa uwanjani kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo walimpa Uchifu na kumtambua kwa jina la  Galiendela Matuga .
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi Johanes Kaguo akifungua...

 

5 years ago

Michuzi

MSAJILI MKUU WA MAHAKAMA AWATAKA MAWAKILI NA WATUMISHI KUWA MSTARI WA MBELE KUTUMIA MFUMO WA TEHAMA




Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe.Wilbert Chuma akizungumzia kuhusu matumizi ya mfumo wa kusajili mashauri kwa njia mtandao.

***************************

Na Magreth Kinabo na Innocent Kansha- Mahakama

Watumishi wa Mahakama ya Tanzania na Mawakili wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kupunguza msongamano wa watu mahakamani, kuepuka maambukizi ya virusi vya Corona na kuokoa gharama za utoaji haki.

Akizungumza leo ofisini...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LIKO MSTARI WA MBELE KUHAMASISHA UCHANGIAJI DAMU

 Kuchangia damu ni kitendo cha kiungwana na hudhihirisha upendo, ambacho hufanywa kwa hiari bila malipo yoyote. Pichani ni kamanda wa polisi wa mkoa wa Tabora Kamishna msaidizi Suzan Kaganda akichangia damu kudhihirisha upendo na kujali maisha ya Mama na mtoto.Wito kwa wananchi; tunaomba wajitokeze katika vituo vya Mpango wa Taifa wa damu salama ili waweze kuchangia damu. 
Kwa maelezo zaidi piga simu zifuatazo:

Kanda ya mashariki Dar-es-Salaam -0715-339282

Kanda ya magharibi Tabora...

 

9 years ago

Michuzi

HOSPITALI ZA APOLLO MSTARI WA MBELE KUOKOA MAISHA YA WAHANGA WA MAFURIKO MJINI CHENNAI

Preetha Reddy, Makamu Mwenyekiti wa Hospitali za Apollo,
Na Mwandishi Wetu,CHENNAI ni jiji la tano kwa ukubwa nchini India, jiji hilo limepigwa na janga kubwa la mafuriko ambayo hayajawahi kutokea kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita, mafuriko hayo yameliacha jiji hilo likiwa hoi na taabani. 
Mafuriko hayo ya kihistoria yalisababisha jiji hilo kukosa huduma muhimu kama umeme, maji safi, chakula, usafiri na mahitaji mengine ya msingi. Idadi ya wagonjwa wengi wameripotiwa kufariki baada ya maji ya...

 

9 years ago

Habarileo

EAC yaisifu Tanzania kwa kudumisha demokrasia

JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imeipongeza na kuisifia Tanzania kuwa ni nchi ya kuigwa kutokana na kujali demokrasia na utawala bora kwa kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano na kila baada ya miaka 10 kubadilisha viongozi wa juu, kwa mujibu wa katiba iliyojiwekea.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto albino anyakuliwa mbele ya wazazi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola.
Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Pendo Emmanuel (4), ameibiwa nyumbani kwao katika kijiji cha Ndami, Tarafa ya Mwamashimba, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, akiwa amelala na wazazi wake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema kuwa tukio hilo lilitokea Desemba 27, mwaka huu saa 4:30 usiku, baada ya watu hao kuvunja mlango wa nyumba kwa kutumia jiwe kubwa, maarufu kama...

 

9 years ago

Bongo5

Tyga aapa kuwa hatakuja kuvuta bangi mbele ya mwanaye

Rapper Tyga ni baba wa mtoto mmoja wa kiume aliyempata na aliyekuwa mpenzi wake Blac Chyna. Katika kuonesha kuwa yeye ni baba bora na mwenye malezi mema kwa mtoto wake aitwaye King Cairo, rapper huyo ameapa kuwa kamwe hatawahi kuja kuvuta bangi mbele ya mwanaye mwenye miaka mitatu, wala kuruhusu mtu mwingine yeyote kufanya hivyo, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani