Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliomteka mtoto albino wanaswa

magesa-mulongoNa Waandishi Wetu, Mwanza

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, ametangaza kutiwa mbaroni kwa watuhumiwa wanaodaiwa kumteka mtoto Pendo Emmanuel (4) ambaye ni mlemavu wa ngozi (albino).
Mulongo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa, amesema watu hao wanahusishwa na tukio la kutekwa kwa mtoto Pendo katika Kijiji cha Ndami wilayani Kwimba mkoani hapa.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Mwanza baada ya kumwapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Kwimba, Pili Moshi,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Waganga wanaswa na meno, nywele za albino

VALENTINO MLOWOLANA SHEILA KATIKULA, MWANZA
JESHI la Polisi mkoani Mwanza limewakamata waganga wa kienyeji 55 wakiwa na viungo vya binadamu vikiwamo meno na nywele vinavyodaiwa kuwa ni vya watu wenye albino.
Vitu vingine walivyokutwa navyo ni ngozi ya simba, nyumbu, mamba, vibuyu, njuga, vioo, shanga na debe tatu za bangi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, alisema waganga hao walikamatwa katika wilaya za Mkoa wa Mwanza kwenye msako ulioanza...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanaswa kwa kula maiti ya mtoto

Polisi nchini Pakistan wamenasa jamaa moja na wanamsaka mwenzake baada ya maiti kupatikana imekatwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto mwingine Albino akatwa mkono

Matukio ya ukatili ddhidi ya albino yanaendelea kuwa tishio nchini Tanzania baada ya mtoto wa miaka sita kukatwa kiganja cha mkono

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto albino anyakuliwa mbele ya wazazi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola.
Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Pendo Emmanuel (4), ameibiwa nyumbani kwao katika kijiji cha Ndami, Tarafa ya Mwamashimba, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, akiwa amelala na wazazi wake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema kuwa tukio hilo lilitokea Desemba 27, mwaka huu saa 4:30 usiku, baada ya watu hao kuvunja mlango wa nyumba kwa kutumia jiwe kubwa, maarufu kama...

 

10 years ago

Mtanzania

Mtoto albino azikwa chini ya ulinzi

Joseph KonyoNa Benjamin Masese, Geita
MABAKI ya mwili wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati (1) ambaye alitekwa Februari 16, mwaka huu na kuuawa kwa kukatwa mikono na miguu, jana yalizikwa kaburini chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mazishi ya mtoto huyo yalifanyika saa tisa alasiri katika Kijiji cha Ilelema, Wilaya ya Chato, mkoani Geita, huku polisi wakiwa wameimarisha ulinzi.
Mabaki ya mwili wa mtoto huyo yalipelekwa kwanza nyumbani kwa babu yake, Misalaba Manyamche, saa sita mchana kabla ya...

 

10 years ago

GPL

MAMA WA MTOTO ALBINO ALIYEUAWA AMLIZA JB

Mwandishi wetu, mwanza/Ijumaa wikienda
Hali si shwari hata kidogo! Wikiendi iliyopita staa wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ alijikuta akiangua kilio na kuungwa mkono na mastaa wenzake, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ na Single Mtambalike ‘Richie’ walipomtembelea wodini mama mzazi wa mtoto Albino, Yohana Bahati (1) aliyeuawa kikatili, Ester Thomas (30) ambaye naye alijeruhiwa vibaya...

 

10 years ago

Mwananchi

Akamatwa akitafuta mteja wa mtoto albino

Mtu mmoja amekamatwa na polisi akiwa katika harakati za kutafuta soko la kuuza mtoto mdogo wa dada yake ambaye ana ulemavu wa ngozi mwenye umri wa miaka sita.

 

10 years ago

CloudsFM

POLISI MWANZA WAMSAKA MTOTO ALBINO ALIYEPOTEA

POLISI wametangaza kutoa dau la shilingi milioni tatu sawa na dola 1,700 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa mtoto albino, Pendo Emmanuel aliyetoweka nyumbani kwake na kupelekwa mahali pasipojulikana mwezi uliopita mkoani Mwanza.

Awali watu 15 walikamatwa na jeshi la Polisi mkoani Mwanza kufuatia msako unaojulikana kama 'Hakuna kulala' dhidi mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) Pendo Emanuel kutekwa na watu wasiojulikana usiku wa tarehe 27.12.2014 nyumbani kwao...

 

10 years ago

Mtanzania

Mtoto albino aporwa mikononi mwa mama yake

NA VICTOR BARIETY,GEITA
WATU wasiojulikana wamempora mikononi mwa mama yake, mtoto mchanga ambaye ni albino,Yohana Bahati (1), mkazi wa Kitongoji cha Ilyamchele,Kijiji cha Ilelema katika Wilaya ya Chato mkoani Geita na kutokomea naye kusikojulikana.
Katika tukio hilo mama wa mtoto huyo alijeruhiwa kwa mapanga.
Tukio hilo linalohusishwa na imani za ushirikina lilitokea Februari 15 mwaka huu usiku.
Kwa mujibu wa polisi,watu wanaodaiwa kufanya unyama huo walikuwa wawili ambao walivamia nyumbani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani