MAMA WA MTOTO ALBINO ALIYEUAWA AMLIZA JB
![](http://api.ning.com:80/files/QxYZWE5p2qurjWLm0IL3Zg*GdwBKG0*YnZivT-ERAQD7bxteJFXn6tqe2ge16t5lVeDmmQjSEqt4S1xY113bFlaMkkNRwURs/4.jpg)
Mwandishi wetu, mwanza/Ijumaa wikienda Hali si shwari hata kidogo! Wikiendi iliyopita staa wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ alijikuta akiangua kilio na kuungwa mkono na mastaa wenzake, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ na Single Mtambalike ‘Richie’ walipomtembelea wodini mama mzazi wa mtoto Albino, Yohana Bahati (1) aliyeuawa kikatili, Ester Thomas (30) ambaye naye alijeruhiwa vibaya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies23 Feb
JB, Mzee Majuto na Richie Wamtembelea Mama wa Mtoto Albino Aliyeuawa…Wamwaga Machozi
Wikiendi iliyopita staa wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ alijikuta akiangua kilio na kuungwa mkono na mastaa wenzake, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ na Single Mtambalike ‘Richie’ walipomtembelea wodini mama mzazi wa mtoto Albino, Yohana Bahati (1) aliyeuawa kikatili, Ester Thomas (30) ambaye naye alijeruhiwa vibaya kichwani, Ijumaa Wikienda linakuhabarisha.
Tukio hilo la majonzi lilijiri kwenye Hospitali ya Bugando mkoani hapa ambapo wasanii hao walikwenda kumfariji mama wa mtoto huyo...
10 years ago
Mwananchi22 Feb
Hali ya mama wa Albino aliyeuawa yaendelea vizuri
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Mtoto albino aporwa mikononi mwa mama yake
NA VICTOR BARIETY,GEITA
WATU wasiojulikana wamempora mikononi mwa mama yake, mtoto mchanga ambaye ni albino,Yohana Bahati (1), mkazi wa Kitongoji cha Ilyamchele,Kijiji cha Ilelema katika Wilaya ya Chato mkoani Geita na kutokomea naye kusikojulikana.
Katika tukio hilo mama wa mtoto huyo alijeruhiwa kwa mapanga.
Tukio hilo linalohusishwa na imani za ushirikina lilitokea Februari 15 mwaka huu usiku.
Kwa mujibu wa polisi,watu wanaodaiwa kufanya unyama huo walikuwa wawili ambao walivamia nyumbani...
10 years ago
Vijimambo18 Feb
Mama aliyeporwa mtoto albino afanyiwa upasuaji wa kichwa
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2627310/highRes/948169/-/maxw/600/-/ni76wr/-/albino.jpg)
Geita/Dar. Mama wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ambaye alitekwa juzi na watu wasiofahamika mkoani Geita, amefanyiwa upasuaji wa kichwa na jopo la madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC) mjini Mwanza.Mama huyo aliyefahamika kwa jina la Ester Jonas (30), alilazimika kufanyiwa upasuaji huo...
10 years ago
Mwananchi18 Feb
Mama aliyeporwa mtoto albino afanyiwa upasuaji wa kichwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRbqI1OEevQUkBy1dzMB69HoSVM7ssnMeSKvYC63M931B4xqcnLp9iTnzUAj*vwyEj3vOGMwNFYGu6posM*1hgtt/FRONTAMANI.jpg?width=650)
DIAMOND AMLIZA MAMA’KE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyV-tnnykKzMDhb2yO9TYiEtD1U9vIwkeZBjFFGZsH0w3X3I8rjGUW1pdh7Y6pfZOjvYfMWWYuxmdJO6gPfTMYJD/M.jpg?width=650)
WEMA AMLIZA MAMA SHARO MILIONEA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDPVZmwLxvNGNPVrgkqarZZ9cRaGg-6VtiZ0Y4fMFu33II4gb5HgWHAxPrc3SuapnWI1PmMWCkLXwe9Es8hlaKbV/Mamasharo.jpg?width=650)
MAMA SHARO MILIONEA AMLIZA RICH MAVOKO
9 years ago
Habarileo14 Dec
Wazazi wakubali kumzika mtoto aliyeuawa msituni
WAZAZI wakazi wa Kijiji cha Kamsisi wilayani Mlele katika Mkoa wa Katavi wamekubali kuuzika mwili wa mtoto wao Moshi Salehe (17) anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi za moto na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa).