MAMA SHARO MILIONEA AMLIZA RICH MAVOKO

Na Shakoor Jongo STORI kuhusu maisha ya mama mzazi wa staa wa komedi Bongo, marehemu Husein Mkiety ‘Sharo Milionea’, baada ya kifo cha mwanaye huyo imemliza Rich Mavoko ambaye alikwenda kumtembelea nyumbani kwake kijijini Lusanga, Muheza mkoani Tanga. Rich Mavoko akifuta machozi alipomtembelea Mama Sharo Milionea. Akiteta machache na Risasi Vibes, Mavoko alisema, yeye kama msanii aliguswa kwenda kumsalimia mama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
WEMA AMLIZA MAMA SHARO MILIONEA
10 years ago
CloudsFM12 Dec
KITALE KUACHIA FILAMU YA MWISHO ALIYOFANYA NA MAREHEMU SHARO MILIONEA
Staa wa filamu za ''Comedy'',Kitale ''Mkude Simba''anatarajia kufanya uzinduzi wa filamu ya mwisho aliyoifanya na aliyekuwa msanii mwenzake wa filamu hizo marehemu,Ramadhani Mkieti ''Sharo Millionea'' iitwayo Safra Hasara.
Kupitia mtandao wa Instagram Kitale aliandika .....Hii ndio movie ya mwisho kucheza na mdogo wng rafiki yng ndugu yng SHARO MILIONEA Hii karibuni itakuwa mtaani USIKOSE KUPATA NAKALA YAKO ..
10 years ago
Bongo Movies26 Nov
10 years ago
Bongo519 Aug
Audio: Rich Mavoko na mama mdogo wa girlfriend wake wazusha ugomvi mzito, amtuhumu kumtafutia wanaume, wafanyiana fujo bar
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Rich Mavoko aeleza ya moyoni
MSANII wa Bongo fleva, Richard Martin ‘Rich Mavoko’ amewataka wasanii wenzake wawe na moyo wa kuwakumbuka wenzao waliotangulia mbele za haki hata kwa kuwatembelea wazazi au ndugu zao waliopo duniani....
9 years ago
Bongo525 Nov
Music: Rich Mavoko – Naimani

Wimbo mpya wa msanii wa bongo fleva Rich Mavoko unaitwa “Naimani”. Producer Boy David & Aby Dad
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Bongo515 Jul
New Music: Rich Mavoko — Tururu