Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Audio: Rich Mavoko na mama mdogo wa girlfriend wake wazusha ugomvi mzito, amtuhumu kumtafutia wanaume, wafanyiana fujo bar

Rich Mavoko amejikuta akiingia kwenye ugomvi mzito na mwanamke anayeaminika kuwa ni mama yake mdogo na girlfriend wake baada ya kumtuhumu kuwa amekuwa akimtafutia wanaume. Tukio hilo linadaiwa kutokea Jumanne hii huko Tabata Bima jijini Dar es Salaam ambapo mwandishi wa blog ya Tizneez alifanikiwa kurekodi sauti ya tukio zima. Mavoko alienda kwenye bar moja […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAMA SHARO MILIONEA AMLIZA RICH MAVOKO

Na Shakoor Jongo
STORI kuhusu maisha ya mama mzazi wa staa wa komedi Bongo, marehemu Husein Mkiety ‘Sharo Milionea’, baada ya kifo cha mwanaye huyo imemliza Rich Mavoko ambaye alikwenda kumtembelea nyumbani kwake kijijini Lusanga, Muheza mkoani Tanga. Rich Mavoko akifuta machozi alipomtembelea Mama Sharo Milionea. Akiteta machache na Risasi Vibes, Mavoko alisema, yeye kama msanii aliguswa kwenda kumsalimia mama...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Lil Wayne na Birdman wafanyiana fujo klabu

Lil Wayne na Birdman wameripotiwa kufanyiana fujo kwenye kiota cha Club Liv cha jijini Miami juzi Jumapili zilizopelekea kufungwa. Kila mmoja na wapambe wao walikuwa kwenye klabu hiyo kumuunga mkono Jim Jones aliyekuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na fujo ilianza baada ya Weezy kupanda kutumbuiza. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia Birdman alitupa kinywaji kwa […]

 

11 years ago

GPL

WEMA AANIKA UGOMVI WAKE NA MAMA’KE

Na Waandishi Wetu STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu kuwa ni suala la uchumba wake na Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambao alikuwa akiupinga mara kwa mara. Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Akipiga stori na mapaparazi, Wema alisema kwa muda mrefu alikuwa akitofautiana kauli na mama yake katika suala zima la uhusiano wake na Diamond lakini...

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Rich Mavoko — Tururu

Hii ndo ngoma Mpya kutoka kwa Rich Mavoko ngoma inaitwa “Tururu” imefanyika katika Studio za Sharo Baro Records Producer Bab Junior

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rich Mavoko aeleza ya moyoni

MSANII wa Bongo fleva, Richard Martin ‘Rich Mavoko’ amewataka wasanii wenzake wawe na moyo wa kuwakumbuka wenzao waliotangulia mbele za haki hata kwa kuwatembelea wazazi au ndugu zao waliopo duniani....

 

9 years ago

Bongo5

Music: Rich Mavoko – Naimani

Rich-Mavoko-Naimani

Wimbo mpya wa msanii wa bongo fleva Rich Mavoko unaitwa “Naimani”. Producer Boy David & Aby Dad

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani