Mama aliyeporwa mtoto albino afanyiwa upasuaji wa kichwa
Ester Jonas (30) ambaye ni mama mzazi wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati akiwa amelazwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu katika Hospitali ya Rufaa Bugando (BMC). Picha na Aidan Mhando
Geita/Dar. Mama wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ambaye alitekwa juzi na watu wasiofahamika mkoani Geita, amefanyiwa upasuaji wa kichwa na jopo la madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC) mjini Mwanza.Mama huyo aliyefahamika kwa jina la Ester Jonas (30), alilazimika kufanyiwa upasuaji huo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Feb
Mama aliyeporwa mtoto albino afanyiwa upasuaji wa kichwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A1Qs8*3Ts4wtdGS2Zm9CK88JI*QY2QsOfHip4fFVf1cBCI2i8DwlSCdIwlM*SjiA3txGHTxh6I9aVFD8QZEjlkef2-sM5azP/UPASUAJI.jpg)
MAMA: KIPIGO CHA BABA YAKE KIMESABABISHA MTOTO AFANYIWE UPASUAJI WA KICHWA
10 years ago
Mtanzania19 Feb
Albino aliyeporwa kwa mama yake auawa
Na Victor Bariety, Geita
MWILI wa mtoto albino, Yohana Bahati (mwaka mmoja) aliyeporwa kutoka mikononi mwa mama yake katika Kijiji cha Lumasa, Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita, umepatikana.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Geita, Joseph Konyo, aliliambia MTANZANIA jana kuwa mwili huo ulipatikana jana katika Pori la Hifadhi ya Biharamulo lililoko Wilaya ya Biharamulo, Mkoa wa Kagera, ukiwa umenyofolewa mikono na miguu.
Alisema mwili wa mtoto huyo uliokotwa juzi saa 12 jioni na wakazi wa eneo hilo...
10 years ago
Vijimambo19 Dec
Mtoto afanyiwa unyama na mama yake mzazi
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/mwaruanda-December19-2013.jpg)
Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita amefanyiwa visa vya kinyama na mama yake mzazi, ambaye anadaiwa kumjeruhi vibaya kwa kumchoma moto mikono yake na kisha kumfungia ndani kwa siku nne akiugulia majeraha bila kutibiwa wala kula chakula.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, mama aliyefanya ukatili huo (jina linahifadhiwa) ni mkazi wa mtaa wa Eden, Manispaa ya Sumbawanga, mkoani hapa.
Inadaiwa mama huyo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QxYZWE5p2qurjWLm0IL3Zg*GdwBKG0*YnZivT-ERAQD7bxteJFXn6tqe2ge16t5lVeDmmQjSEqt4S1xY113bFlaMkkNRwURs/4.jpg)
MAMA WA MTOTO ALBINO ALIYEUAWA AMLIZA JB
10 years ago
BBCSwahili08 May
Pele afanyiwa upasuaji
10 years ago
BBCSwahili07 May
Pacquiao afanyiwa upasuaji wa bega
11 years ago
BBCSwahili24 Dec
Fellaini afanyiwa upasuaji wa mkono