Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shetta: Nina ngoma saba mpya na zote kali

Baada ya Shikirobo tarajia ngoma zingine kali kutoka kwa Shetta. Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa ameandaa nyimbo saba mpya ambapo atachagua moja ya kutoka. Amesema muziki wa sasa unahitaji nyimbo nzuri na sio kubahatisha. “Watu wategemee ngoma kali, sitaki kuongea sana, video kali. Kuna ngoma kama saba nimeziandaa,” amesema Shetta. “Yeyote itatoka kwasababu muziki umekuwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Sitta: Nina sifa zote kuongoza Bunge lijalo

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samuel Sitta amesema kutokana na hali ya joto la kisiasa ilivyo,  ambayo ilidhihirika zaidi wakati wa uchaguzi, wabunge walioshinda wengi ni vijana na ni wazi spika anayehitajika ni mwenye uzoefu.

 

11 years ago

GPL

PSPF YAPATA MWANACHAMA MPYA NDANI YA MAENESHO YA SABA SABA

Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akimkabidhi kadi ya uanachama, Mwnaachama Mpya wa Mfuko huo, Peter A Mfuru, (Kulia), baada ya kujiunga jana kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Katikati ni Afisa Mifumo ya Kompyuta Mwandamizi, Mariam Saleh. Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akitoa maelezo ya namna...

 

11 years ago

GPL

USIKU WA ZOTE KALI; STAMINA, YOUNG D: TUTAFANYA SHOO BAAB’KUBWA

VICHWA vya Hip Hop, Stamina na Young D kwa pamoja na wasanii wengine kibao wamefunguka kuwa wanatarajia kuangusha bonge la shoo lenye taito ya Usiku wa Zote Kali. Msanii Stamina. Mpango mzima utachukua nafasi Machi 8, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala Zakhem, jijini Dar ambapo itakuwa ni uzinduzi wa Studio za Defatality zinazomilikiwa na Prodyuza Masen Selekta. Kwa mujibu wa Mesen, mbali na wasanii ambao wamepita...

 

9 years ago

Bongo5

Hakuna ngoma kali za Bongo fleva — Asema producer mkongwe Enrico

Ukiwataja watayarishaji wakongwe wa muziki wa Bongo ambao mpaka sasa bado wapo na wanaendelea na kazi hiyo, huwezi kumuacha Enrico Figueiro wa studio ya Sound Crafters. Enrico ambaye kwasasa hasikiki kutokana na kutofanya sana Bongo Fleva ambayo ndio inapewa nafasi zaidi ya kutangazwa, amesema kuwa nyimbo zote zinazotoka siku hizi hazina ubora ndio maana hazidumu […]

 

10 years ago

CloudsFM

CYRIL AMPANDISHA NDEGE PRODUCER WAKE BAADA YA KUGONGEWA NGOMA KALI

Hivi karibuni msanii wa Hip Hop Bongo,Cyril Kamikaze aliwashangaza watu kwa kumpa ofa producer wake Geoff Master wa studio ya Tongwe Records baada kupigiwa biti ya ngoma flani ambayo haijatoka, cyril alimpeleka mjini Zanzibar Geoff Master kwa siku kama nne kwa ajili ya mapumziko kama shukrani ya kumfanyia ngoma.‘’Nimeamua kumpeleka producer wangu mjini Zanzibar kwa mapumziko kama shukrani ya kunifanyia ngoma kali ingawa sijajua kama itafanya vizuri au haitafanya vizuri lakini ni ngoma...

 

10 years ago

Bongo5

Tusisingizie stress twendeni studio na tutulize akili kuandika tu ngoma kali — Soggy

Rapper mkongwe na mtangazaji wa radio Efm, Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a Soggy Doggy Anter au The Entertainer ametoa ushauri kwa wasanii wa muziki kuacha kusingizia ‘stress’ kama chanzo cha kujihusisha na mambo yasiyofaa pale muziki unapowaendea vibaya. Soggy ambaye huendesha kipindi cha X-Ray kila Jumamosi akishirikiana na Sam Kiama, Kupitia ukurasa wake wa Facebook ameandika: […]

 

9 years ago

Bongo5

Cyrill adai video na ngoma kali sio kila kitu kwa muziki wa sasa

kamikaze

Staa wa muziki Cyrill Kamikaze, amesema muziki wa sasa sio tu kufanya video kali na ngoma kali ili uweze kutoboa, bali unahitaji kutumia ubunifu zaidi kukidhi viwango vyenye ubora na kufikia soko la kimataifa.

kamikaze

Rapper huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Afica Radio kuwa watu wengi wanafikiri ukiwa na video nzuri ndio unafanikiwa.

“Unaweza ukawa na video kali halafu usihit, muziki ni zaidi ya chupa kali, ukirudishwa miaka fulani nyuma, ngoma kali ndio ilikuwa inahit, lakini sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani