Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKU WA ZOTE KALI; STAMINA, YOUNG D: TUTAFANYA SHOO BAAB’KUBWA

VICHWA vya Hip Hop, Stamina na Young D kwa pamoja na wasanii wengine kibao wamefunguka kuwa wanatarajia kuangusha bonge la shoo lenye taito ya Usiku wa Zote Kali. Msanii Stamina. Mpango mzima utachukua nafasi Machi 8, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala Zakhem, jijini Dar ambapo itakuwa ni uzinduzi wa Studio za Defatality zinazomilikiwa na Prodyuza Masen Selekta. Kwa mujibu wa Mesen, mbali na wasanii ambao wamepita...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIAMOND AFANYA MAJARIBIO DAR LIVE TAYARI KWA SHOO KALI YA TAMASHA LA WAFALME LEO USIKU

Msanii Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya majaribio ya vifaa ndani ya jukwaa la Dar Live. Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya maandalizi katika jukwaa la kupanda na kushuka la Dar…

 

9 years ago

Bongo5

Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee

mtu chee2Kulikuwa na utata kuhusu member mpya wa kundi la Mtu Chee ambalo hapo mwanzo liliundwa na rappers watatu, Stamina, Young D na Country Boy. Baada ya taarifa za Young Dee kuondoka kwenye kundi hilo, kulikuwa na taarifa kuwa Young Killer ambaye ameshiriki kwenye wimbo mpya wa kundi hilo, ‘Mtu Tatu’, kuwa ndio member mpya wa […]

 

10 years ago

GPL

YOUNG KILLER, BARNABA NA STAMINA WALIVYOTINGISHA DAR LIVE JANA

Barnaba akifungua burudani. Hapa akicheza na kuimba na moja wa mashabiki zake. Young Killer akikamua moja kati ya…

 

9 years ago

Bongo5

Mtu Chee (Stamina,Country Boy na Young Dee) waingia studio

Rappers wanaounda kundi la Mtu Chee, Stamina, Country Boy na Young Dee ameingia studio za Kiri Records kuandaa kazi mpya za kundi hilo. Kupitia ukurasa wa Instagram, Stamina alipost picha na kuandika: Current situation,,,,right now,,,ndani ya Kirirecordstz tupo na mtu mbayaaaa Rashdontz project mpyaaaaaaa ya MTU CHEE,MTU NOMA,MTU 3,yale majibu ya maswali yenu sasa yako […]

 

9 years ago

Bongo5

Shetta: Nina ngoma saba mpya na zote kali

Baada ya Shikirobo tarajia ngoma zingine kali kutoka kwa Shetta. Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa ameandaa nyimbo saba mpya ambapo atachagua moja ya kutoka. Amesema muziki wa sasa unahitaji nyimbo nzuri na sio kubahatisha. “Watu wategemee ngoma kali, sitaki kuongea sana, video kali. Kuna ngoma kama saba nimeziandaa,” amesema Shetta. “Yeyote itatoka kwasababu muziki umekuwa […]

 

11 years ago

GPL

ALI KIBA:NIMEJIPANGA KWA MUDA MREFU KUONESHA SHOO KALI TAMASHA LA MATUMAINI

Makala: Elvan Stambuli BAADA ya kimya kirefu, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘Ali Kiba’ amesema amejipanga kwa muda mrefu ili ‘akamue’ vilivyo kwa shoo kali  katika Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam Agosti 8, mwaka huu. Ali Kiba akifafanua jambo wakati akihojiwa ndani ya… ...

 

10 years ago

GPL

SHOO YA USIKU WA ISHI KISTAA YAFANA DAR

Baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko (wa kwanza kutoka kushoto), Linah,Barnaba, Joh Makini wakiwa kwenye pozi na mmoja wa mashabiki wao ndani ya Ukumbi wa Escape One katika shoo ya Usiku wa Ishi Kistaa iliyofanyika usiku wa kuamkia leo. Msanii wa Hip Hop, Izzo Business akisaini kwenye moja ya bango la shoo hiyo muda mfupi baada ya kuwasili mahali hapo.… ...

 

10 years ago

Bongo5

Young Killer asema video ya ‘Umebadilika’ itakuwa bora kuliko zote alizowahi kufanya

Rapper Young Killer Msodoki, amedai kuwa video ya wimbo wake ‘Umebadilika’ aliomshirikisha Banana Zorro itakuwa bora zaidi kuliko video zote alizowahi kufanya. Video hiyo iliyoongozwa na Hefemi Studios imefanyika katika visiwa vya Mbudya jijini Dar es Salaam. Msodoki ameiambia Kikwetu Blog kuwa uzuri wa video hiyo utachangiwa na mandhari aliyoyatumia ambayo yatapendezeshwa na muonekano wa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani