ALI KIBA:NIMEJIPANGA KWA MUDA MREFU KUONESHA SHOO KALI TAMASHA LA MATUMAINI
![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W3FOOkDryrLmqmHb1JsRl14ZgE9rAXiB8oi0q6BuyI11XcASAbMZgSZG*3bwtWj0nsWjgKWk27ypXPRx44vT48N/alik.jpg)
Makala: Elvan Stambuli BAADA ya kimya kirefu, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘Ali Kiba’ amesema amejipanga kwa muda mrefu ili ‘akamue’ vilivyo kwa shoo kali katika Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam Agosti 8, mwaka huu. Ali Kiba akifafanua jambo wakati akihojiwa ndani ya… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm51ZJBo3uEor88HfL2V30oDl3y4Gy3LmQryfPaDrbp8BFSDr5TFTHvi6VuNB4s9*pf08vhkvxQeDU2ZqvhY1s-W/matumaini.jpg)
ALI KIBA: NITAFANYA SHOO YA KIMATAIFA TAMASHA LA MATUMAINI
11 years ago
GPLALI KIBA AONYESHA MANJONJO TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzn4ICuAlE7IHWgfWFNSIFFXZM0D5cbHBbLAKkrLUTtSmHWlT-wJK3KByVdp6xiSwL*khOuKSYJxZtHN-ZMam-dvRYOS5LRc/diamond2.jpg?width=650)
DIAMOND AFANYA MAJARIBIO DAR LIVE TAYARI KWA SHOO KALI YA TAMASHA LA WAFALME LEO USIKU
11 years ago
GPLALI KIBA ATUA GLOBAL TV ONLINE, AELEZEA ALIVYOJIANDAA KWA MAKAMUZI YA USIKU WA MATUMAINI 2014
10 years ago
GPLALI KIBA AFUNIKA SHOO YA MWANA DAR LIVE
10 years ago
GPL19 Oct
TAMASHA LA FIESTA 2014: DAVIDO, ALI KIBA, DIAMOND NA T.1 WAZUA GUMZO KWA MASHABIKI
10 years ago
Dewji Blog30 Jan
Ali Kiba kupiga shoo ya ‘live’ Sauti za Busara Feb 12
Mwenyekiti wa Bodi wa Busara Promotions, wandaaji wa tamasha la Sauti za Busara, Simai Mohammed (katikati) akiongea na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wanahabari Jijini Dar es Salaam, juu ya tamasha la 12 la Sauti za Busara, litakalofanyika, Februari 12 hadi 15, mwaka huu, Ngome Kongwe, Zanzibar. Wengine (kushoto) ni Meneja wa tamasha hilo, Journey Ramadhani. na upande wa kulia ni Mkurugenzi wa tamasha hilo, Yusuf Mahmoud ‘Dj Yusuf, akifuatiwa na msanii wa Bongo...
10 years ago
Dewji Blog06 Apr
Ali Kiba ‘habari nyingine’ afunika Shoo ya Mwana Dar Live
Mwanamuziki Ali Kiba akizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live katika shoo yake ya Mwana Dar Live.
Mashabiki wa Ali Kiba wakishow love.
Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakizidi kuwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
Ali Kiba akizidi kuitawala steji la kupanda na kushuka la Dar Live.
Kwa picha na habari zaidi ya shoo hiyo ingia hapo chini
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/ali-kiba-afunika-shoo-ya-mwana-dar-live
10 years ago
Michuzi06 Apr
ALI KIBA AFUNIKA SHOO YA MWANA DAR LIVE, ACHEKECHA NA KUCHEKETUA
Ali Kiba akiwa sambamba na mdogo wake Abdul Kiba waliangusha bonge la burudani huku wakiimba nyimbo zao zote kwa kutumia vyombo vya jukwaani ‘live band’.
Shoo hiyo ilisindikizwa na Isha Mashauzi akiwa na Mashauzi Classic, Msaga Sumu...