Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IDRIS AGEUKA BODIGADI WA MNAMIBIA!

Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan akimrekebisha shati Luis Munana. MSHINDI wa Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan juzi kati aligeuka bodigadi wa muda wa mshiriki mwenzake wa Big Brother kutoka Namibia, Luis Munana. Katukio hako ‘amazing’ kalijiri katika sherehe ya kuzaliwa ya staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu ambapo muda mwingi Idris alikuwa akihakikisha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WEMA AMBADILISHA DINI MNAMIBIA

Nyota wa filamu za Bongo, Wema Issac Sepetu akiwa na Mnamibia Luis Munana . YAMETIMIA! Ndoa ya Miss Tanzania 2006 ambaye pia ni nyota wa filamu za Bongo, Wema Issac Sepetu na Mnamibia Luis Munana aliyekuwa mshiriki wa Shindano la Big Brother Hotshots mwaka jana, ipo mbioni huku kijana huyo akibadili dini kutoka Ukristo kwenda Uislam kwa lengo la kuwa dini moja na Wema. Wakifurahia jambo.… ...

 

10 years ago

Bongo5

Mwisho mwampamba na mkewe Mnamibia Meryl wa ‘BBA’ wapata mtoto wao pili wa kiume

Mtangazaji wa kipindi cha ‘Boys Boys’ cha TV 1, Mwisho Mwampamba na mkewe Meryl ambaye walikutana na kuanzisha mahusiano kwenye Big Brother Africa ‘All stars’, wamefanikiwa kupata mtoto wao wa pili kama couple. Meryl ambaye ni Mnamibia amejifungua mtoto wa kiume mwishoni mwa May 2014 ambaye wamemuita ‘King David’. Meryl akiwa na mtoto wa Mwisho […]

 

9 years ago

Mtanzania

Zitto ageuka

zitto00Evans Magege na Jonas Mushi

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, jana hakutoka bungeni wakati wabunge wa upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) walipoamriwa kufanya hivyo na Spika wa Bunge, Job Ndugai, baada ya kukataa kuacha kuzomea na kupiga kelele kwa minajili ya kumzuia Rais John Magufuli kuzindua Bunge la 11.

Awali Zitto alionekana kuungana na Ukawa kabla Rais Magufuli hajaingia ndani ya Bunge.

Tukio ambalo lilionekana kuwaunganisha Zitto na Ukawa ni lile...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwambusi ageuka ‘mbogo’

>Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi   amewashutumu watu waliomzushia kuwa amenunuliwa nyumba na klabu ya Azam FC, hali iliyofanya maisha yake kuwa hatarini kabla ya mchezo huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Maximo ageuka ‘mbogo’

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewaweka kitimoto nyota wake huku akiwatuhumu kuwa hawakabi uwanjani na wanaridhika mapema na matokeo, jambo linalosababisha timu hiyo kuwa katika wakati mgumu kwenye mechi zao za ligi.

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA CIARA AGEUKA KIVUTIO

Msanii wa R&B, Ciara. California, Marekani
MSANII wa R&B, Ciara Princess Harris hivi karibuni mtoto wake, Future Zahir aligeuka kivutio kwenye tamasha la utoaji tuzo za michezo ambazo huandaliwa na watoto ziitwazo, Kid’s Sports Choice Awards. Ciara akiwa na mwanaye.
Katika tuzo hizo ambazo huandaliwa na Kituo cha TV cha Nickelodeon, Ciara alikuwa ameongozana na Future Zahir pamoja na mchumba wake, Rusell Wilson...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzungu wa Simba ageuka ‘mbogo’

Kocha wa Simba, Dylan Kerr amesema anataka wachezaji wote wa timu hiyo wawe wamejiunga na kambi yake iliyoko hapa, la sivyo watafute timu nyingine za kuchezea.

 

10 years ago

Mtanzania

Samatta ageuka lulu Ulaya

samatta1111111111111NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, amezidi kugeuka lulu kwa timu za Ulaya baada ya matajiri wa Urusi, CSKA Moscow nao kuonyesha nia ya kumsajili katika dirisha dogo linalomalizia usajili.

Samatta aliyeondoka nchini mwishoni mwa wiki kuelekea Hispania kufanya mazungumzo na moja ya timu ya huko inayoshiriki Ligi Kuu ya Hispania ‘La Liga’, sasa amekutana na zali jingine nchini humo baada ya CSKA nayo kumfukuzia.

Mtoa habari wetu...

 

10 years ago

GPL

MAMA KANUMBA AGEUKA MBOGO

Na Mayasa Mariwata/Risasi Mchanganyiko
KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mtegoa amegeuka mbogo baada ya kuulizwa kuhusu hatima ya kikazi ya taasisi hiyo. “Muonekana wa Ofisi ya Kanumba The Great wakati ikiwa inafanya kazi. Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni haimhusu mtu yeyote, hili ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani