Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA ALEWA TILALILA, AGEUKA KITUKO

Stori:  IMELDA MTEMA
STAA wa sinema za nyumbani (Swahili Hood), Kajala Masanja amegeuka kituko nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu, Kijitonyama, Dar baada ya kulewa tilalila na kuwaacha midomo wazi wasanii wenzake, Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa. Kajala Masanja. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, Kajala alifanya madudu hayo mwishoni mwa wiki iliyopita alipokuwa akirekodi filamu yake inayokwenda kwa jina la Laana ambapo waigizaji...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KITUKO!

Na Issa Mnally
AMA kweli dunia uwanja wa fujo! Mrembo aliyetajwa kwa jina la Baby amefanya kituko cha aina yake kwa kusaula nguo mbele ya hadhara baada ya shemeji yake maarufu kwa jina la Baba K kufumaniwa.

FUMANIZI LAIVU
Tukio hilo la aina yake lililovuta wengi lilijiri kwenye gesti moja (jina tunalo), maeneo ya Temeke jijini Dar hivi karibuni baada ya jamaa mmoja kumwekea mtego rafiki yake aliyekuwa akimtongoza mkewe na...

 

9 years ago

GPL

MSANII ALEWA ASHINDWA KUTEMBEA

MAYASA MARIWATANA SHANI RAMADHANI MSANII wa filamu aliyefahamika kwa jina la Glasnost Kalinga hivi karibuni alipata aibu ya aina yake baada ya kulewa na kushindwa kutembea. Msanii huyo akisaidiwa na rafiki zake kuinuka. Msanii huyo alinaswa na kamera yetu maeneo ya Afrikasana, Sinza saa 6 usiku ambapo alionekana akiwa amelala chini huku marafiki zake wakijaribu kumkokota bila mafanikio. Akizungumnza na Ijumaa katika eneo la...

 

11 years ago

GPL

ALEWA CHAKARI, ALALA STENDI

Vitabu vya Mungu vinataja kila kitu ni lazima kiwe na kiasi, ukizidisha basi kinachoweza kutokea ni aibu.
Jamaa mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, alijikuta akipata aibu ya mwaka baada ya kunywa pombe na kulewa chakari na Katika hali ya sintofahamu kijana mmoja amekutwa akiwa amelewa chakali na kulala kwenye stendi ya mwenge. kukata ‘netiweki’ jambo lililosababisha ‘aangushe gari’ pembeni...

 

10 years ago

GPL

RIHANNA AONYESHA KITUKO

Mwanadada mrembo mwimbaji wa RnB, Rihanna. New York, Marekani
MWANADADA mrembo mwimbaji wa RnB, Rihanna, 27,juzikati alitokelezea akiwa amevaa shati kubwa na kuonekana kituko kwa watu wengi. Mbaya zaidi, demu huyo asiyeishiwa na vituko, alikuwa amefungua vishikizo karibu vyote vya shati hilo huku akiwa hajavaa blazia, hatua ambayo ilisababisha sehemu ya matiti yake kuonekana. Kingine ni kwamba nguo hiyo ni ya kiume lakini...

 

11 years ago

Habarileo

Mgogoro Chadema kituko

MGOGORO wa uongozi ndani ya Chadema, umeingia katika hatua nyingine baada ya makada wa chama hicho wanaopingana kimisimamo, kufunga ofisi za chama hicho mjini Mpanda kwa zaidi ya wiki sasa.

 

10 years ago

GPL

BINTI WA KIARABU ALEWA, AFANYA VIOJA

Pombe si chai! Binti mrembo mwenye asili ya Kiarabu ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akifanya vioja baada ya kulewa chakari na kusababisha midume kumtolea udenda, Ijumaa Wikienda lilimpiga chabo. Binti huyo ambaye hakufahamika jina lake mara moja akifanya yake. Tukio hilo la aibu lilijiri kwenye onesho la Kundi la Mashauzi Classic ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar ambapo lilikuwa… ...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUMZ ALEWA SIFA NA KUTUKANA HADHARANI


Baada tu ya Kuchukia Tuzo ya MTV Mama Katika Kipengele cha Mtumbuizaji Bora Africa Diamond Platnumz Alipiga Picha hiyo hapo juu akiwa na Uongozi wake, Pichi hii imeleta Hisia Tofauti kwa Mashabiki wake Huku Wengine Wakisema Hiyo ni Ishara ya kutukana....... 

 

10 years ago

GPL

SHILOLE ALEWA CHAKARI ASHUSWA KWENYE BOTI

Musa Mateja
DIVA wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, juzikati alijikuta akilewa chakali kiasi cha kushindwa kupanda boti iliyokuwa imeandaliwa maalum kwa ajili ya kwenda kusherehekea tukio la kukatwa keki katika kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya msanii mwenzake, Estelina Sanga ‘Linah’, iliyofanyika Slipway, Masaki jijini Dar. Staa wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani