Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALEWA CHAKARI, ALALA STENDI

Vitabu vya Mungu vinataja kila kitu ni lazima kiwe na kiasi, ukizidisha basi kinachoweza kutokea ni aibu.
Jamaa mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, alijikuta akipata aibu ya mwaka baada ya kunywa pombe na kulewa chakari na Katika hali ya sintofahamu kijana mmoja amekutwa akiwa amelewa chakali na kulala kwenye stendi ya mwenge. kukata ‘netiweki’ jambo lililosababisha ‘aangushe gari’ pembeni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHILOLE ALEWA CHAKARI ASHUSWA KWENYE BOTI

Musa Mateja
DIVA wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, juzikati alijikuta akilewa chakali kiasi cha kushindwa kupanda boti iliyokuwa imeandaliwa maalum kwa ajili ya kwenda kusherehekea tukio la kukatwa keki katika kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya msanii mwenzake, Estelina Sanga ‘Linah’, iliyofanyika Slipway, Masaki jijini Dar. Staa wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS YAKABIDHI STENDI KUU YA IGUMBILO NA STENDI YA ZAMANI MTAMBO WA KUNAWIA MIKONO



NA DENIS MLOWE,IRINGA

STENDI kuu ya Igumbilo na stendi ya zamani zimekabidhiwa msaada wa mashine ya kunawia mikono ya kisasa kutoka kwa kampuni ya Asas ya mjini Iringa ikiwa ni mwendelezo wa kampuni hiyo kusaidia jamii kupambana na kuenea kwa virusi vya coroni mkoani hapa.

Msaada huo wa mashine mbili za kisasa ambazo zinazinatumia miguu kuweza kutoa maji na vitakasa mikono ni kubwa zinazoweza kuhudumia watu zaidi ya watano kwa wakati mmoja zimekabidhiwa na mwakilishi wa kampuni hiyo, Afisa...

 

10 years ago

GPL

WEMA, WOLPER WALEWA CHAKARI!

Sifael Paul
Hatari! Masistaduu wawili kunako gemu la Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Jacqueline Wolper Massawe, wamejikuta wakipiga ulabu hadi kulewa chakari, kisa kikielezwa kwamba wana msongo wa mawazo, Risasi Jumamosi linafunguka. Masistaduu wawili kunako gemu la Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Jacqueline Wolper Massawe wakipiga mtungi usiku mnene. ENEO LA TUKIO KINONDONI-MANYANYA
Tukio hilo lililoshuhudiwa na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema, Wolper Walewa Chakari!,Kisa Msongo wa Mawazo

Mastaa warembo kutoka Bongo Movies,  Wema Isaac Sepetu na Jacqueline Wolper Massawe, wamejikuta wakipiga ulabu hadi kulewa chakari, kisa kikielezwa kwamba wana msongo wa mawazo.

Gazeti la Risasi la jana, limeripoti kuwa tukio hilo lilijiri hivi karibuni, usiku mnene kwenye pati ya kuzaliwa (birthday) ya meneja wa kampuni ya Wema ya Endless Fame almaarufu Petit Man iliyofanyika kwenye nyumba ya jamaa mmoja maeneo ya Kinondoni-Manyanya jijini Dar na kuhudhuriwa na mastaa kibao.
Katika pati...

 

9 years ago

GPL

MSANII ALEWA ASHINDWA KUTEMBEA

MAYASA MARIWATANA SHANI RAMADHANI MSANII wa filamu aliyefahamika kwa jina la Glasnost Kalinga hivi karibuni alipata aibu ya aina yake baada ya kulewa na kushindwa kutembea. Msanii huyo akisaidiwa na rafiki zake kuinuka. Msanii huyo alinaswa na kamera yetu maeneo ya Afrikasana, Sinza saa 6 usiku ambapo alionekana akiwa amelala chini huku marafiki zake wakijaribu kumkokota bila mafanikio. Akizungumnza na Ijumaa katika eneo la...

 

11 years ago

GPL

KAJALA ALEWA TILALILA, AGEUKA KITUKO

Stori:  IMELDA MTEMA
STAA wa sinema za nyumbani (Swahili Hood), Kajala Masanja amegeuka kituko nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu, Kijitonyama, Dar baada ya kulewa tilalila na kuwaacha midomo wazi wasanii wenzake, Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa. Kajala Masanja. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, Kajala alifanya madudu hayo mwishoni mwa wiki iliyopita alipokuwa akirekodi filamu yake inayokwenda kwa jina la Laana ambapo waigizaji...

 

10 years ago

GPL

BINTI WA KIARABU ALEWA, AFANYA VIOJA

Pombe si chai! Binti mrembo mwenye asili ya Kiarabu ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akifanya vioja baada ya kulewa chakari na kusababisha midume kumtolea udenda, Ijumaa Wikienda lilimpiga chabo. Binti huyo ambaye hakufahamika jina lake mara moja akifanya yake. Tukio hilo la aibu lilijiri kwenye onesho la Kundi la Mashauzi Classic ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar ambapo lilikuwa… ...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUMZ ALEWA SIFA NA KUTUKANA HADHARANI


Baada tu ya Kuchukia Tuzo ya MTV Mama Katika Kipengele cha Mtumbuizaji Bora Africa Diamond Platnumz Alipiga Picha hiyo hapo juu akiwa na Uongozi wake, Pichi hii imeleta Hisia Tofauti kwa Mashabiki wake Huku Wengine Wakisema Hiyo ni Ishara ya kutukana....... 

 

10 years ago

GPL

MADHARA YA POMBE ZA OFA! ALEWA AZIMIA WAHUNI WAMUUZA!

HII kali! Jamaa mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja, alikutwa amelazwa chini akiwa amelewa chapachapa, maeneo ya Mtaa wa Kongo, Kariakoo jijini Dar, huku kawekewa karatasi kifuani na wahuni ikisomeka; “for sale” (anauzwa). Kijana akiwa katika hali ya kutojitambua baada ya kupata ulabu wa Kutosha. Kwa mujibu wa chanzo makini, jamaa huyo alikuwa na mwenzie ambaye inadaiwa kuwa ni kabila moja kwenye gari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani