SHILOLE ALEWA CHAKARI ASHUSWA KWENYE BOTI
![](http://api.ning.com:80/files/qhmaNpdkdBvZ4AAydC7sAkaKiD2XFV*tN0qZpXQinS-r04202r8NUwwzJitM8oyKB1LMxeKrxgt9DG*oPXEteG6nYU8*2vJK/1.jpg?width=650)
Musa Mateja DIVA wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, juzikati alijikuta akilewa chakali kiasi cha kushindwa kupanda boti iliyokuwa imeandaliwa maalum kwa ajili ya kwenda kusherehekea tukio la kukatwa keki katika kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya msanii mwenzake, Estelina Sanga ‘Linah’, iliyofanyika Slipway, Masaki jijini Dar. Staa wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX0H*gxuhBSqrvG10*bc17uT8E3ZSujNLtza76VN-ARSvQU*Ek0XM5Kk9FXFfDBWa-ClRQlxMV9IxMRcvm6aXcig/batuli2.jpg?width=650)
ALEWA CHAKARI, ALALA STENDI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aQwQDG7ODRIGaTRnoUIRczQnyQCorkNigpxQwZOTR9PwC0REXk3cVc8xanGfhqKTW43c116hrzc-bCFQu-YvCLo/3.jpg?width=650)
WEMA, WOLPER WALEWA CHAKARI!
10 years ago
Bongo525 May
Video: Shilole apiga magoti live kwenye TV na kuwaomba msamaha Watanzania
10 years ago
Bongo Movies19 Apr
Wema, Wolper Walewa Chakari!,Kisa Msongo wa Mawazo
Mastaa warembo kutoka Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Jacqueline Wolper Massawe, wamejikuta wakipiga ulabu hadi kulewa chakari, kisa kikielezwa kwamba wana msongo wa mawazo.
Gazeti la Risasi la jana, limeripoti kuwa tukio hilo lilijiri hivi karibuni, usiku mnene kwenye pati ya kuzaliwa (birthday) ya meneja wa kampuni ya Wema ya Endless Fame almaarufu Petit Man iliyofanyika kwenye nyumba ya jamaa mmoja maeneo ya Kinondoni-Manyanya jijini Dar na kuhudhuriwa na mastaa kibao.
Katika pati...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyWG5yeFdaOt05mc8tXD45xIG3zL4e0DVcngHrHbjqdAxUG3H8Sl*vAg9DOTv-yxWQPQPsRHCMP1sM1meN3idFD8/Msaniii.jpg?width=650)
MSANII ALEWA ASHINDWA KUTEMBEA
9 years ago
Bongo Movies29 Dec
Hiki Ndicho Kilichotoakea Kwenye House Party ya Shilole ‘Karunguyeye’ Usiku wa Jana
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole aka shishi bybee ambaye amejipa jina la Karunguyeye siku ya jana alifanya pati nyumbani kwake ‘House Party’ na kuwaalika baadhi ya mastaa wenzake.
Kajala, Mwasiti, Linnah,Baba Levo, Baby Madah,Millard Ayo, Tudd Thomas na Makomandoo hao nibaadhi ya watu waliohudhulia pati hiyo.
Hizi ni baadhui ya picha za pati hiyo.
10 years ago
CloudsFM15 Dec
Shilole aachia ngoma yake mpya kwenye Leo Tena inaitwa Malele
Msanii wa Bongo Fleva,Shilole akiwa na mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena,Husna Abdul wakati akiachia ngoma yake mpya iitwayo Malele.
![](http://api.ning.com/files/zXiKii5t5tsTjKMChG*Bzvu7Fb6PZIByXyueOCJrqa6FUwSdZIHNJeZClbka7TTuuqTarTO22PUqmX5-g0twq14-yiSZHLEq/shilole2.jpg?width=750)
![](http://api.ning.com/files/zXiKii5t5tucF*e8eMtukTp-Bp7oWWCLq-wze56mcga8xj9Og67sJ0X9tiQhxZ8HwCvqcOgRQxN6h9*i55jXiGyYiazBkqDg/shilole3.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtpMZpUxIo-B5J09-C8y78rzBY4YufIgt*Gljd4PH3YBzR2*R54nNdA8KK9VdnidSmrIt2wYW9c8a6Dsc9sruALw/1kajala.jpg?width=650)
KAJALA ALEWA TILALILA, AGEUKA KITUKO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DNRCvs-5-8H7kECU5Nzb5x6bdL87afJMfMA57Vwp9PBF83k9MPkWeA1wwNpUs2rDf7oQwlvY6mKbjBJxPA72Ht63TsVwBQmT/pombe.jpg?width=650)
BINTI WA KIARABU ALEWA, AFANYA VIOJA