RIHANNA AONYESHA KITUKO
![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88AxsOQnozng5JXZ1M201C5Jrohnp*bo09uS7JcMmH-D4Yfze6D7aFLORzuqvCFxkHOGfZ6EGI7JqE5eKU4OssiSG/rihanna_spl743692_016.jpg?width=650)
Mwanadada mrembo mwimbaji wa RnB, Rihanna. New York, Marekani MWANADADA mrembo mwimbaji wa RnB, Rihanna, 27,juzikati alitokelezea akiwa amevaa shati kubwa na kuonekana kituko kwa watu wengi. Mbaya zaidi, demu huyo asiyeishiwa na vituko, alikuwa amefungua vishikizo karibu vyote vya shati hilo huku akiwa hajavaa blazia, hatua ambayo ilisababisha sehemu ya matiti yake kuonekana. Kingine ni kwamba nguo hiyo ni ya kiume lakini...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R2aZJJJ1ooHhmsXznBeArO-9mwyn*eOV6Q0WZ8Uq1s7vEHaGGWrlXK8ef-nj0CB-iDrId4ZFoVXxkRMURPqQCpj/kituko.jpg?width=650)
KITUKO!
11 years ago
Habarileo03 Mar
Mgogoro Chadema kituko
MGOGORO wa uongozi ndani ya Chadema, umeingia katika hatua nyingine baada ya makada wa chama hicho wanaopingana kimisimamo, kufunga ofisi za chama hicho mjini Mpanda kwa zaidi ya wiki sasa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtpMZpUxIo-B5J09-C8y78rzBY4YufIgt*Gljd4PH3YBzR2*R54nNdA8KK9VdnidSmrIt2wYW9c8a6Dsc9sruALw/1kajala.jpg?width=650)
KAJALA ALEWA TILALILA, AGEUKA KITUKO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jF7MGtqbimOZpFBJZTIwM9nVJY0T7suL*tcAx4Xhz9aZxJ9dnVqV1RI*EIRak89EsGwcr4X*E4SteHrRtEVXOME/nisha.jpg?width=650)
NISHA AWA KITUKO KWA YATIMA
5 years ago
Raia Mwema12 Mar
Kituko cha Spika wa Bunge asiye mbunge!
TUNAWEZA kubaini hatua mbalimbali za kihistoria zilizolifanya bunge letu liwe bubu na butu, nami
Jenerali Ulimwengu
11 years ago
Mwananchi04 Jun
Bunge EAC lijiangalie upya lisigeuke kituko
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Timu ngeni Ligi Kuu zijipange zisiwe kituko
WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikitarajiwa kufikia tamati Aprili 19, baadhi ya timu zimeleta ushindani mkubwa, zikiwemo Mbeya City iliyocheza ligi hiyo kwa mara ya kwanza, na Azam FC ambazo...
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Pinda aonyesha umahiri