Bunge EAC lijiangalie upya lisigeuke kituko
Kwa mara nyingine, hoja ya kumng’oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dk Margret Nantongo Zziwa imekwamisha shughuli za bunge hilo huku bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), iliyopaswa kusomwa Alhamisi ya Mei 29, ikikwama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Raia Mwema12 Mar
Kituko cha Spika wa Bunge asiye mbunge!
TUNAWEZA kubaini hatua mbalimbali za kihistoria zilizolifanya bunge letu liwe bubu na butu, nami
Jenerali Ulimwengu
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Bunge Maalumu la Katiba tulitafakari upya
APRILI 25 mwaka huu, Bunge Maalumu la Katiba lilihairishwa rasmi hadi mwezi Agosti kupisha Bunge la bajeti lililoanza jana. Bunge hilo lilihairishwa likiwa limetumia siku 67 kati ya 90 wanazopashwa...
11 years ago
Mwananchi07 May
Hillary: Wajumbe Bunge la Katiba tujiangalie upya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R2aZJJJ1ooHhmsXznBeArO-9mwyn*eOV6Q0WZ8Uq1s7vEHaGGWrlXK8ef-nj0CB-iDrId4ZFoVXxkRMURPqQCpj/kituko.jpg?width=650)
KITUKO!
11 years ago
Habarileo02 Apr
Bunge EAC lavurugika
BUNGE la Afrika Mashariki (EALA), limeahirishwa kwa muda usiojulikana baada ya kutawaliwa malumbano jana juu ya suala zima la kumng’oa Spika.
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Bunge la EAC lavunjika Dar
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Isipotumika busara, Bunge EAC litasambaratika
10 years ago
Mtanzania26 Aug
Bunge la EAC kuanza kesho Dar
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
NA SHABANI MATUTU
BUNGE la tatu la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), linatarajiwa kufanyika kesho na kumalizika Septemba 5, mwaka huu katika Ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam.
Akizungumzia sababu za Bunge hilo kufanyia mkutano wake Dar es Salaam, Spika wa Bunge hilo, Dk. Margaret Zziwa, alisema umetokana na taratibu walizojiwekea za kufanya vikao kwa zamu katika nchi wanachama ili wajiweke karibu na wananchi kwa ajili ya kutambulisha shughuli zao.
“Ripoti hizo ni Kamati ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88AxsOQnozng5JXZ1M201C5Jrohnp*bo09uS7JcMmH-D4Yfze6D7aFLORzuqvCFxkHOGfZ6EGI7JqE5eKU4OssiSG/rihanna_spl743692_016.jpg?width=650)
RIHANNA AONYESHA KITUKO