Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge EAC lavurugika

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Margareth ZziwaBUNGE la Afrika Mashariki (EALA), limeahirishwa kwa muda usiojulikana baada ya kutawaliwa malumbano jana juu ya suala zima la kumng’oa Spika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bunge la Katiba lavurugika

TAARIFA ya kuwepo kwa marekebisho mapya ya Kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, zimesababisha vurugu, kurushiana matamshi yasiyo ya staha na kuzomeana bungeni, huku Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Samuel Sitta, akituhumiwa kushiriki kuchakachua Kanuni hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge la EAC lavunjika Dar

Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Eala) jana lilivunjika kutokana na kutotimia kwa akidi ya wajumbe kutoka Rwanda na Burundi.

 

11 years ago

Mwananchi

Isipotumika busara, Bunge EAC litasambaratika

Kwa muda mrefu sasa, Bunge la Afrika Mashariki limekuwa katika mizozo isiyoisha kiasi cha wananchi wengi katika nchi wanachama kuhofia kwamba Bunge hilo linaweza kusambaratika

 

10 years ago

Mtanzania

Bunge la EAC kuanza kesho Dar

Bunge

Bunge

NA SHABANI MATUTU

BUNGE la tatu la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), linatarajiwa kufanyika kesho na kumalizika Septemba 5, mwaka huu katika Ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam.

Akizungumzia sababu za Bunge hilo kufanyia mkutano wake Dar es Salaam, Spika wa Bunge hilo, Dk. Margaret Zziwa, alisema umetokana na taratibu walizojiwekea za kufanya vikao kwa zamu katika nchi wanachama ili wajiweke karibu na wananchi kwa ajili ya kutambulisha shughuli zao.

“Ripoti hizo ni Kamati ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge EAC lijiangalie upya lisigeuke kituko

Kwa mara nyingine, hoja ya kumng’oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dk Margret Nantongo Zziwa imekwamisha shughuli za bunge hilo huku bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), iliyopaswa kusomwa Alhamisi ya Mei 29, ikikwama.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Spika Makinda ataka ushirikiano Bunge la EAC


Na Mwandishi Wetu
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewataka wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutengeneza utaratibu wa kuongeza uhusiano kati ya bunge hilo na yale ya nchi wanachama.

Akizungumza katika ufunguzi wa bunge hilo, Spika Anne alisema tayari maspika wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wamekubalina kuunda kamati zitakazoshughulikia mambo ya jumuia hizo.
“Lakini jambo kubwa ni kwamba ukanda huu umetengeneza bunge lenye uwezo wa kutunga sheria,...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasili Burundi kulihutubia Bunge la EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jioni ya  Jumatano, Machi 18, 2015 amewasili nchini Burundi kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini humo. Kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa mji mkuu wa Burundi wa Bujumbura, Rais Kikwete amepokelewa na Rais wa Burundi Mheshimiwa Pierre Nkurunzinza na pamoja na mamia kwa mamia ya wananchi wa Burundi. Rais Kikwete ambaye amewasili Burundi akitokea Dodoma ambako alikuwa katika ziara ya kikazi pia leo Machi 19, 2015,...

 

11 years ago

Habarileo

Hoja kumng'oa Spika Bunge la EAC bado hai

WABUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wamesisitiza kuwa mpango wa kumng’oa Spika wa Bunge hilo, Margaret Zziwa liko pale pale licha ya wabunge watatu wa Tanzania kuondoa saini zao.

 

5 years ago

Michuzi

MJADALA WAIBUKA TENA BUNGE LA EALA UKOSEFU WA FEDHA ZA KUTOSHA KUENDESHA JUMUIYA EAC


Mbunge wa bunge hilo George Odongo akiongea na wanahabari nje ya bunge.

Na Ahmed Mahmoud Arusha 
Wabunge wa bunge la Afrika mashariki wameibua tena mjadala wa tatizo la ukosefu wa fedha za kutosha kutekeleza majukumu ya kila siku ya jumuiya na kuliomba Baraza la mawaziri kuona uwezekano wa kulipatia ufumbuzi wa kudumu tatizo hilo. 
Akiongea wakati akichangia mjadala wa ripoti ya ukaguzi fedha hilo Mbunge wa EALA Mariamu Ussi alisema kuwa suala hilo ni changamoto ambayo inahitaji kupatiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani