Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda aonyesha umahiri

Ya kale dhahabu! Huo ni usemi aliouonyesha kwa vitendo Waziri Mizengo Pinda jana baada ya kuonyesha umahiri wake wa kucheza mpira wa kikapu na pia soka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Tuzo za Umahiri wa uandishi wa habari 2013

 Mpiga Picha Mkuu wa Kampuni ya Raia Mwema, Mpiganaji Anthony Siame akikabidhiwa tuzo ya Umahairi wa Uandishi wa Habari na Bw. Aggrey Mareale  baada ya kuibuka mshindi wa picha bora kwa mwaka 2013 wakati wa Sherehe zilizofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Hongera mpiganaji!

 

11 years ago

Dewji Blog

JWTZ yatambulika duniani kwa umahiri

05-10-2013advanceteam

Majeshi Maalum (Special Forces) ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania yanayolinda amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ni miongoni mwa vikosi bora 35 vya majeshi ya nchi mbali duniani vinavyokubali kuwa na ufanisi wa hali ya juu, uwezo mkubwa wa kupigana na vilivyofundishwa vizuri.

Kwa  mujibu wa Mtandao wa Imgur Via Distractify, Tanzania na jeshi lake ni nchi pekee ya Afrika kuweza kuwa na majeshi yake miongoni mwa majeshi bora duniani.

Chini ya kichwa cha habari “35 Most...

 

11 years ago

Habarileo

Waandishi 101 kuwania Tuzo za Umahiri

WAANDISHI wa habari 101 wameteuliwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT 2013) zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) ambapo kilele chake kitakuwa Machi 14, mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

MCL yaendelea kutesa Tuzo za Umahiri nchini

Waandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, MCL, wameendelea ‘kutesa’ katika tuzo mbalimbali za uandishi wa habari baada ya jana kushinda tena Tuzo ya Uandishi wa habari za Ukimwi, shindano lililoandaliwa na Taasisi ya Waandishi wa Habari za Ukimwi (AJAAT),

 

10 years ago

Dewji Blog

Bhalalusesa asisitiza umuhimu wa umahiri katika Tehama

IMG_8834

Kiongozi wa kitaifa wa mradi wa CFIT, Prof. Ralph Masenge akimkaribisha mgeni rasmi Kaimu Kamishina wa Elimu, Benjamin Kulwa (hayupo pichani) kufungua kongamano linalohusu upitiaji wa waraka wa mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu linalofanyika mjini Bagamoyo.

IMG_8915

Kaimu Kamishina wa Elimu, Benjamin Kulwa akisoma hotuba kwa niaba ya Kamishina wa Elimu, Profesa Eustella Bhalusesa wakati akifungua rasmi kongamano linalohusu upitiaji wa waraka wa mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Weledi na umahiri vipewe nafasi mradi wa mabasi Dar

Wakati Watanzania hasa wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakisubiri kwa hamu kuanza kwa mradi wa mabasi yaendayo kasi, kizungumkuti kimewakumba wadau wa mradi huo kuhusu nani apewe zabuni ya kuusimamia.

 

5 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU MZUMBE CHAPONGEZWA KWA UMAHIRI KATIKA UFUNDISHAJI MASOMO YA SHERIA


Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Balozi. Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Mkuu wa Kitivo cha Sheria Chuo Kikuu Mzumbe Dkt. John Ubena mara baada ya kuwasili chuoni hapo.Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka akitoa taarifa kwa Waziri kuhusu maendeleo ya Chuo Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Balozi.Dkt.Augustine Mahiga akizungumza na wanataaluma wa Kitivo cha Sheria wa Chuo Kikuu MzumbeKatibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akitoa maelezo ya awali ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI MGODI WA NORTH MARA WATUZWA KWA UMAHIRI NA UMAKINI KATIKA KAZI

Meneje Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Gary Chapman, akizungumza kwenye hafla ya awamu ya pili ya utoaji tuzo za umahiri mwaka 2014 (CEO Excellence Awards 2014), iliyofanyika Jumanne usiku Machi 23, 2014, kwenye mgodi huo ulioko Nyamongo, wilayani Tarime mkoa wa Mara.Meneja mkuu wa mgodi wa North Mara, Gary Chapman, (kushoto), akishuhudia wakati Le Poer Trench, (katikati) na Albert Rudman, wakionyesha tuzo za umahiri za mwaka 2014, (CEO ECellence Aawards 2014), walizopokea kwa niaba ya idara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani