Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCL yaendelea kutesa Tuzo za Umahiri nchini

Waandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, MCL, wameendelea ‘kutesa’ katika tuzo mbalimbali za uandishi wa habari baada ya jana kushinda tena Tuzo ya Uandishi wa habari za Ukimwi, shindano lililoandaliwa na Taasisi ya Waandishi wa Habari za Ukimwi (AJAAT),

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

UDHAMINI WA JEZI: Manchester United yaendelea kutesa duniani

Hivi karibuni Klabu ya Chelsea iliingia mkataba wa udhamini katika jezi za timu hiyo na kampuni ya matairi ya Yokohama ya Japan, hivyo kuwa kati ya timu mbili za juu barani Ulaya zenye udhamini mkubwa.

 

11 years ago

Habarileo

Waandishi 101 kuwania Tuzo za Umahiri

WAANDISHI wa habari 101 wameteuliwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT 2013) zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) ambapo kilele chake kitakuwa Machi 14, mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

Tuzo za Umahiri wa uandishi wa habari 2013

 Mpiga Picha Mkuu wa Kampuni ya Raia Mwema, Mpiganaji Anthony Siame akikabidhiwa tuzo ya Umahairi wa Uandishi wa Habari na Bw. Aggrey Mareale  baada ya kuibuka mshindi wa picha bora kwa mwaka 2013 wakati wa Sherehe zilizofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Hongera mpiganaji!

 

9 years ago

Mwananchi

Mwandishi MCL ashinda tuzo ya SFW 2015

Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Maimuna Kubegeya ameshinda tuzo ya mwandishi bora wa mitindo kwa mwaka 2015 iliyotolewa na Swahili Fashion Week.

 

11 years ago

Mwananchi

MCL yaongoza kwa kuwania Tuzo MCT

Gazeti la Mwananchi kwa mara ya pili mfululizo waandishi wake wameongoza kwa kupeleka kazi nyingi zaidi ya vyombo vingine vya habari katika Shindano la Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2013.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanahabari MCL waongoza uteuzi Tuzo za Ejat 2013

Waandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen wanaongoza katika orodha ya wateule wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari 2013 (Ejat 2013) kwa kuingiza majina 15 kati ya 76 ya wateule watakaotunukiwa zawadi zao Machi 14 mwaka huu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa mgodi wa North Mara wapewa tuzo za umahiri 2014, kwa umakini na uwajibikaji kazini

Chapman_tuzo

Meneja Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Gary Chapman, akionyesha wafanyakazi wenzake wa mgodi huo, tuzo ya umahiri ya mwaka 2014, (Excellence Awards 2014), waliyonyakua kwa kuwa mgodi wenye kuzingatia usalama kwa kiwango cha juu, wakati wa utoaji tuzo hizo awamu ya pili iliyofganyika kwenye mgodi huo Jumanne usiku Machi 23, 2015.

Chapman_Albert_Le poer trench

Meneja mkuu wa mgodi wa North Mara, Gary Chapman, (kushoto), akishuhudia wakati Le Poer Trench, (katikati) na Albert Rudman, wakionyesha tuzo za umahiri za mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI TUZO YA UMAHIRI WA UANDISHI WA HABARI (EJAT) JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari, iliyofanyika jana usiku April 24, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milion tatu na Laki Nane (M.3.8) mshindi wa jumla katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT), Mwandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA MAKAMPUNI 100 YA KIWANGO CHA KATI NCHINI KUTOLEWA NCHINI

Tuzo za makampuni 100 ya kiwango cha kati nchini kutolewa hapo kesho katika hafla itakayofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City. Hayo yamebainishwa hii leo katika mkutano uliowakutanisha wadau wote walioshiriki katika mchakato huo pamoja na waandaaji na wadhamini uliofanyika hii leo katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Mchakato huu uliratibiwa na KPMG na Mwananchi Communications Ltd na kudhaminiwa na Benki M.Mkurugenzi Mkuu wa KPMG Bw. David Gachewa akizungumza katika mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani