Wanahabari MCL waongoza uteuzi Tuzo za Ejat 2013
Waandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen wanaongoza katika orodha ya wateule wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari 2013 (Ejat 2013) kwa kuingiza majina 15 kati ya 76 ya wateule watakaotunukiwa zawadi zao Machi 14 mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Daily News30 Jan
EJAT 2013 entries register slight decline
Daily News
Daily News
THE number of entries which have been received to contest for 19 awards in the 2013 Excellence in Journalism Awards Tanzania (EJAT) has declined compared to last year. Chairperson of the EJAT organizing committee Mr Kajubi Mukajanga said on ...
11 years ago
TheCitizen26 Feb
MCT nominates over 100 entries for 2013 Ejat finals
10 years ago
Habarileo27 Mar
965 kuwania tuzo za EJAT
KAZI 965 zimepelekwa kushindania tuzo 21 za shindano la sita la Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) huku kazi 42 zikitoka Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN).
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
MCT yataja wateule wa tuzo EJAT
BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetangaza majina ya wateuliwa wa kinyang’anyiro cha tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania (EJAT) 2013 huku waandishi wawili wa Tanzania Daima wakiwa miongoni...
11 years ago
Mwananchi17 Dec
MCL yaendelea kutesa Tuzo za Umahiri nchini
11 years ago
Mwananchi30 Jan
MCL yaongoza kwa kuwania Tuzo MCT
9 years ago
Mwananchi12 Dec
Mwandishi MCL ashinda tuzo ya SFW 2015
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ErvIMceNsGA/VTuQeEYcoAI/AAAAAAAHTKI/WgI0NpBrxQI/s72-c/001.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI TUZO YA UMAHIRI WA UANDISHI WA HABARI (EJAT) JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-ErvIMceNsGA/VTuQeEYcoAI/AAAAAAAHTKI/WgI0NpBrxQI/s1600/001.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-MEkYvP8PhUY/VTuQpkDDotI/AAAAAAAHTMI/bLoZzqCEEiI/s1600/1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Majaji tuzo za wanahabari waapishwa
RAIS wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Dk. Robert Kisanga, ameapisha jopo la majaji tisa watakaosimamia mchakato wa kutafuta washindi wa tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania EJAT...