Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NISHA AWA KITUKO KWA YATIMA

Stori:  Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ hivi karibuni alijikuta akigeuka kituko kwa watoto yatima kutokana na mavazi ya ‘kihasara’ aliyokuwa amevaa na kulazimika kujistiri na mtandio kiunoni. Nisha akiwa na timu yake (Team Nisha), walikwenda kutoa msaada katika Kituo cha Mwana Orphans Centre kilichopo Vingunguti, jijini Dar na walipofika walijishangaa kwa kuwa watoto hao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NISHA NA TIMU YAKE WAFANYA KUFURU KWA WATOTO YATIMA VINGUNGUTI

  Timu Nisha wakitinga katika kituo cha Mwana Orphans kilichopo Vingunguti jijini Dar. Timu Nisha wakiwa mbele ya watoto (hawapo pichani).…

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Ampongeza Nisha kwa Jambo Hili, Nifunzo kwa Mastaa Wengine

Kutoka Mtandaoni: Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amempongeza staa mwenzake Salma Jabu ‘Nisha’ kwa jitihada zake za kuzitangaza kazi zake zaidi kupitia ukursa wake kwenye mtandao picha wa Instagram ambapo hadi leo anawatu zaidi ya laki moja na nusu wanao mfuatilia.

Napenda kuongea kutokana moyoni kwamba navutiwa na jinsi dada huyu anavyo jitahidi.hongera.kila nikipitia acc yako mara nyingi unaongelea juu ya kazi zako.hongera. endelea kupambana,”JB aliandika hayo mara baada...

 

11 years ago

GPL

KITUKO!

Na Issa Mnally
AMA kweli dunia uwanja wa fujo! Mrembo aliyetajwa kwa jina la Baby amefanya kituko cha aina yake kwa kusaula nguo mbele ya hadhara baada ya shemeji yake maarufu kwa jina la Baba K kufumaniwa.

FUMANIZI LAIVU
Tukio hilo la aina yake lililovuta wengi lilijiri kwenye gesti moja (jina tunalo), maeneo ya Temeke jijini Dar hivi karibuni baada ya jamaa mmoja kumwekea mtego rafiki yake aliyekuwa akimtongoza mkewe na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Swali la Kizushi Kutoka kwa Nisha…..

Helloo wapenzi!? Eti ni nani kati ya hawa nikicheza nao huwa tunakukuna haswa mtima,yaani huwa unapenda couple yetu tukicheza pamoja,(taja wawili)
Mf:Mlela na Mau au vile ww unapenda (nb:hii inahusu wanaume niliyofanya nao kazi tu)

Nisha ameuliza mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.

 

10 years ago

GPL

NISHA AWASHTAKIA WEZI KWA MUNGU

Gladness mallya
Baada ya wezi kumfanyia kitu mbaya kwa kumuibia vifaa kibao kwenye gari lake na kuliacha kama gofu, staa wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameamua kufunga siku saba kwa ajili ya kuwashtaki wezi hao kwa Mwenyezi Mungu. Staa wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na paparazzi wetu, Nisha alisema kwa siku hizo saba ataomba dua maalum na hatatoka nyumbani kwenda sehemu yoyote...

 

11 years ago

GPL

NISHA ADAIWA KUBEMBELEZA PENZI KWA NAY

Stori: MUSA MATEJA
STAA wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ anadaiwa kubembeleza penzi kwa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Ijumaa lina full mchongo. Nay wa Mitego na Nisha katika pozi la kimahaba enzi za penzi lao. Mnyetishaji wetu alivujisha mawasiliano baina ya wawili hao waliowahi kuwa wapenzi kisha kumwagana ambapo yalionyesha kuwa Nisha analitamani upya...

 

9 years ago

Bongo Movies

Nisha kwa Baraka Nimefuata Penzi, Si Pesa

Staa wa Filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema kuwa sababu ya kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Mwanamuziki Baraka Da Prince ni kuhitaji penzi la kweli na si vinginevyo.

Akipiga stori na Ijumaa, Nisha alisema kuwa watu wamekuwa wakimsengenya kwa kudai kuwa eti yeye kuwa na Baraka ni sawa na ‘kumbemenda’ lakini akajitetea kwamba penzi la siku hizi haliangalii umri, kikubwa ni penzi la kweli.

“Unaweza kuwa na mtu mzima mwenzako na msielewane lakini ukawa na ‘serengeti boy’...

 

11 years ago

Habarileo

Mgogoro Chadema kituko

MGOGORO wa uongozi ndani ya Chadema, umeingia katika hatua nyingine baada ya makada wa chama hicho wanaopingana kimisimamo, kufunga ofisi za chama hicho mjini Mpanda kwa zaidi ya wiki sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani