Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utaratibu Chadema sasa walalamikiwa

Utaratibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wa kutaka mwanachama anayehitaji kugombea nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao kujigharimia mikutano yote ya kujinadi, umewaweka njia panda baadhi ya waliotangaza nia wilayani hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MBUNGE NA DIWANI CHADEMA WALALAMIKIWA NA WANANCHI KUKWAMISHA MAENDELEO YA JIMBO KWA MIAKA MINNE

Wanafunzi wa elimu ya awali, wakifundishwa na mwalimu Juliana Joseph huku wakiwa wamekaa sakafuni na juu ya paa kukiwa wazi katika moja ya vyumba vya madarasa ya Shule ya Msingi, Unyaghumpi vilivyozuiliwa kujengwa na Mbunge Tundu Lissu kwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha na kuwaambia kuwa fedha zote zitatoka serikalini,imeelezwa na Wananchi wa jimbo hilo kuwa kufuatia na hali hiyo miradi mingi imekwama kwa miaka minne sasa,jambo ambalo limewarudisha nyuma kimaendeleo.  Katibu ...

 

10 years ago

Africanjam.Com

UTARATIBU WA SASA KUHUSU 'BIG G' NCHINI SINGAPORE

  Mwaka 1992 Singapore ilipitisha sheria iliyokataza kuuza ama kusafirisha big g kwa nchi yoyote duniani, ila big g zitengenezwe kwa ajili ya kulika na kununuliwa na raia wa Singapore tu. Baada ya miaka 12 yalifanyika mabadiliko na kuruhusu watu wa Singapore kununua big g ambazo hazina sukari yani Sugar-free chewing gums ambazo ni nzuri kwa meno na kinywa cha binadamu. Kwa sasa utaratibu uliopo ukikutwa unatema big g chini au unatafuna ovyo unapigwa faini.

 

10 years ago

GPL

CHADEMA WATOA UTARATIBU UTEUZI WA WAGOMBEA UCHAGUZI MKUU 2015

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalim (katikati) akitoa taarifa hiyo. Kushoto ni Katibu Mkuu Baraza la Wazee Taifa, Roderick Lutembeka na kulia ni Mkurugenzi wa Bunge ndani ya Chadema Halimashauri Kuu, John Mrema. Wanahabari wakifuatilia mkutano huo. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo kimetoa taarifa yake juu ya utaratibu utakaotumika katika uteuzi wa wagombea ndani ya chama hicho kwa mwaka wa 2015....

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaokiuka utaratibu kutwaa madaraka, watavuruga utaratibu, wadumu milele

Kuanzia Mei 30, mwaka huu, taifa limeshuhudia kuanza rasmi kwa zoezi la kutangazania na kuchukua fomu kwa wanaokusudia kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

Habarileo

Tazara walalamikiwa

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) wameulalamikia uongozi wa mamlaka hiyo upande wa Tanzania kwa kujilipa malimbikizo ya marupurupu ya miezi minne, huku ukijua kuwa watumishi wengine hawajalipwa malimbikizo ya mshahara wa Januari mwaka huu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kinondoni walalamikiwa na mawakala wa magazeti

MAWAKALA wa magazeti mbalimbali wamelalamikia kitendo cha kuzuiwa kufanya biashara hiyo ndani ya kituo kipya cha Daladala Simu 2000. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa walalamikiwa

Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimeilalamikia Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kwa madai ya kushindwa kukamilisha maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA DAR WALALAMIKIWA

Zoezi la upigaji kura lilivyokuwa maeneo ya kituo cha Mapambano.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani