Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaokiuka utaratibu kutwaa madaraka, watavuruga utaratibu, wadumu milele

Kuanzia Mei 30, mwaka huu, taifa limeshuhudia kuanza rasmi kwa zoezi la kutangazania na kuchukua fomu kwa wanaokusudia kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ebola na utaratibu mpya wa Mazishi

Ugonjwa wa Ebola unahitaji hatua za haraka na umakini katika kuhifadhi miili ya watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.

 

9 years ago

Mwananchi

Haya ni matokeo ya kukiuka utaratibu

Tarehe 8 Mei, 2015 viongozi wakuu wa vyama vitatu vya siasa nchini Uingereza  Nigel Farage wa UKIP, Nick Clegg wa Liberal Democrats na Ed Miliband wa Labour walitangaza kujiuzulu nyadhifa  zao.

 

10 years ago

Mwananchi

Utaratibu Chadema sasa walalamikiwa

Utaratibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wa kutaka mwanachama anayehitaji kugombea nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao kujigharimia mikutano yote ya kujinadi, umewaweka njia panda baadhi ya waliotangaza nia wilayani hapa.

 

11 years ago

Habarileo

Makandarasi waagizwa kufuata utaratibu

NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla amewataka makandarasi wanaofanya kazi katika wilaya ya Mvomero kufuata utaratibu uliowekwa na Baraza la Madiwani la kuwataka wapitie Serikali za vijiji kabla ya kuanza kazi .

 

9 years ago

Habarileo

‘Iko haja kuangalia utaratibu wa Hija’

WAKATI Watanzania wakiendelea kuomboleza vifo vya mahujaji wanane na wengine waliojeruhiwa huko nchini Saudia Arabia, Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakari Zuberi ameiomba serikali kuangalia utaratibu wa kuzungumza na Saudia ili kuweka utaratibu mzuri wa ibada ya Hijja utakaosaidia kuepukana na madhara yaliyojitokeza mwaka huu kutokana na kufungwa kwa njia moja.

 

9 years ago

Michuzi

UTARATIBU WA KISHERIA UNAPONUNUA ARDHI YA KIJIJI.

                 KUSOMA  ZAIDI  links  goes  to  sheriayakub.blogspot.comNa  Bashir  Yakub.

Tulipoandika namna  bora  na  taratibu  maalum  za  kufuata unapotaka  kununua  ardhi  tulisema  pia   kuwa   taratibu  za  ununuzi  wa  ardhi  huwa  zinatofautiana  kutegemea  na   mazingira  ya  kila  ardhi. 
Tukasema  unaponunua  ardhi  kwa  msimamizi  wa  mirathi  ni  tofauti  na  unaponunua  kwa  mmiliki  mwenyewe. Unaponunua  ardhi  ya  familia  ni  tofauti  na  unaponunua  isiyo  ya ...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima walalamikia kampuni kukiuka utaratibu

Wakulima wa pamba wilayani hapa wamezilalamikia kampuni tisa za ununuzi wa zao hilo kwa kukiuka sheria na utaratibu wa kilimo cha mkataba kwa kuwauzia mbegu kinyume chamakubaliano.

 

11 years ago

Habarileo

Utaratibu wa masomo kwa askari waelezwa

Pereira SilimaASKARI wa ngazi zote wanalazimika kuomba na kukubaliwa kujiendeleza kielimu kwenye taaluma, zinazohitajika ndani ya jeshi baada ya kumaliza muda usiopungua miaka mitatu tangu kuajiriwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utaratibu mpya kudhibiti msongamano Dar

UTARATIBU mpya wa kudhibiti changamoto ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam uko mbioni kutangazwa. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Ofisa Mkuu Mtendaji wa Wakala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani