Makandarasi waagizwa kufuata utaratibu
NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla amewataka makandarasi wanaofanya kazi katika wilaya ya Mvomero kufuata utaratibu uliowekwa na Baraza la Madiwani la kuwataka wapitie Serikali za vijiji kabla ya kuanza kazi .
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Jun
Makandarasi waagizwa kujenga barabara bora
MAKANDARASI walioko chini ya Wakala wa Taifa wa Barabara (TANROADS) mkoani Kagera wameshauriwa kufanya kazi kwa viwango ili barabara walizokabidhiwa kujenga ziweze kupitika kwa urahisi ikiwa ni njia ya kukuza uchumi wa wananchi wa mkoa huo.
9 years ago
Habarileo14 Nov
Walimu waagizwa kufuata kasi ya Rais
WALIMU wametakiwa kufanya kazi kwa ufanisi, ubunifu na maarifa kuendana na kauli mbiu ya Rais John Magufuli ya Hapa Kazi tu ili wanafunzi waelewe kinachofundishwa darasani bila ya kutegemea masomo ya ziada.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xeeb0cMtEm0/XliuHBIq5yI/AAAAAAALfzA/i9ha-nT_1YUctxEwk3SFHLbgiTU_RdJCwCLcBGAsYHQ/s72-c/a9ce9b88-2050-4119-89e0-41b151a7d067.jpg)
WAZIRI SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU POLISI KUKAMATA WANANCHI, BODABODA BILA KUFUATA UTARATIBU, AAGIZA KILA OPERESHENI MKUU WA WILAYA APEWE TAARIFA, ASISITIZA UCHAGUZI MKUU WA HURU NA HAKI 2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-xeeb0cMtEm0/XliuHBIq5yI/AAAAAAALfzA/i9ha-nT_1YUctxEwk3SFHLbgiTU_RdJCwCLcBGAsYHQ/s640/a9ce9b88-2050-4119-89e0-41b151a7d067.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/9e835e81-624d-400a-bfbf-64bef98dc92e.jpg)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Wanaokiuka utaratibu kutwaa madaraka, watavuruga utaratibu, wadumu milele
11 years ago
Habarileo02 Jun
Serikali yawaonya makandarasi
SERIKALI imeonya makandarasi wenye tabia ya kuhonga watumishi wa Serikali ili wapatiwe zabuni za ujenzi wa miradi mbalimbali kuacha mara moja.
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Wenje aonya makandarasi
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), ametishia kuwachukulia hatua kali makandarasi watakaojenga miradi ya zahanati na wodi ya wazazi, inayotekelezwa na fedha za Mfuko wa Jimbo (CDCF), chini ya kiwango....
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Barrick yawafunda makandarasi
10 years ago
Habarileo01 Jul
Makandarasi wasiothibitishwa marufuku
SERIKALI imepiga marufuku Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuunganisha umeme majumbani wakibaini kuwa makandarasi walioweka mfumo wa umeme kwenye nyumba hizo hawajathibitishwa.
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Makandarasi 900 kukutana Dar
BODI ya Makandarasi Nchini (CRB), imeandaa mkutano wa wadau wa sekta ya ujenzi ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na wanataaluma wa fani ya ujenzi wapatao 900 kutoka mikoa mbalimbali nchini na nje...