Wenje aonya makandarasi
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), ametishia kuwachukulia hatua kali makandarasi watakaojenga miradi ya zahanati na wodi ya wazazi, inayotekelezwa na fedha za Mfuko wa Jimbo (CDCF), chini ya kiwango....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen11 Oct
Wenje criticises Magufuli
11 years ago
Mwananchi28 May
Membe amlipua Wenje
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Wenje amvaa Meya
MBUNGE wa Nyamagana jijini Mwanza, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amemshambulia Meya wa jiji hilo, Stanslaus Mabula (CCM), akimuita ni mzigo aliyesababisha jiji kuwa na ukata mkubwa wa fedha za maendeleo. Alisema...
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Wenje: Msikubali kuchangishwa fedha
MBUNGE wa Nyamagana kupitia Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekiel Wenje, amewashari wananchi mkoani hapa kutokubaliana na uchangishwaji wa fedha na Halmashauri ya Jiji kwa ajili ya ujenzi wa...
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Wenje aizidi kete CCM
MBUNGE wa Nyamagana kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekiel Wenje, amewaacha hoi viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kuwataka wasitumie kodi za...
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Wenje abadili upepo mkutano wa JK
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Wenje: Nimefanya mengi Nyamagana
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Wenje adai visima havitoi maji
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amesema kuwa mradi wa uchimbaji wa visima vya maji kumi kila kijiji umekwama kwa asilimia 80 na hali hiyo inatokana na ufisadi mkubwa katika...
11 years ago
Habarileo12 Jun
Wenje ataka operesheni machinga isitishwe
MBUNGE wa Nyamagana, Hezekia Wenje (Chadema) ameitaka Serikali isitishe operesheni ya kuondoa wafanyabiashara wadogo (machinga) wa eneo la Makoroboi jijini Mwanza.