Wenje ataka operesheni machinga isitishwe
MBUNGE wa Nyamagana, Hezekia Wenje (Chadema) ameitaka Serikali isitishe operesheni ya kuondoa wafanyabiashara wadogo (machinga) wa eneo la Makoroboi jijini Mwanza.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMKUU WA MKOA MWANZA AWAJIA JUU VIONGOZI WA JIJI, ATAKA MACHINGA WAPEWE MAENEO YA BIASHARA
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex
WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Wizara yalia na kodi ya vinyago, yataka isitishwe
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Wenje amvaa Meya
MBUNGE wa Nyamagana jijini Mwanza, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amemshambulia Meya wa jiji hilo, Stanslaus Mabula (CCM), akimuita ni mzigo aliyesababisha jiji kuwa na ukata mkubwa wa fedha za maendeleo. Alisema...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Wenje aonya makandarasi
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), ametishia kuwachukulia hatua kali makandarasi watakaojenga miradi ya zahanati na wodi ya wazazi, inayotekelezwa na fedha za Mfuko wa Jimbo (CDCF), chini ya kiwango....
10 years ago
TheCitizen11 Oct
Wenje criticises Magufuli
11 years ago
Mwananchi28 May
Membe amlipua Wenje
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Wenje aizidi kete CCM
MBUNGE wa Nyamagana kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekiel Wenje, amewaacha hoi viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kuwataka wasitumie kodi za...
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Wenje: Msikubali kuchangishwa fedha
MBUNGE wa Nyamagana kupitia Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekiel Wenje, amewashari wananchi mkoani hapa kutokubaliana na uchangishwaji wa fedha na Halmashauri ya Jiji kwa ajili ya ujenzi wa...