Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barrick yawafunda makandarasi

Makandarasi wa Mkoa wa Shinyanga wanaoomba kazi migodi ya dhahabu Buzwagi na Bulyanhulu, wametakiwa kufuata sheria na taratibu, huku wakizingatia kiwango cha juu cha maadili ili kupata fursa ya kufanya kazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TIC yawafunda wafanyabiashara

WAFANYABIASHARA wa Tanzania wameshauriwa kutumia fursa waliyopata wakati wa kongamano la pili la biashara kati ya Tanzania na China kujenga mtandao wa kibiashara utakaodumu kwa faida yao na nchi kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Brela yawafunda wafanyabiashara Songea

WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (Brela) imeendelea kuwasisitiza wafanyabiashara kujitokeza kusajili majina ya biashara zao, ili ziweze kurasimishwa. Akizungumza kwenye semina ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara mjini hapa...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yawafunda walioshinda mitaa

Baada ya kuibuka na ushindi wa wenyeviti 65 katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema viongozi hao wanapaswa kuonyesha tofauti ya kiutendaji dhidi ya viongozi wa CCM kwa kurejesha misingi ya haki, uwajibikaji kwa watu wote watakaowasimamia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SSRA yawafunda waajiri Tabora

WAAJIRI nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuwachagulia watumishi kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii na pia wameaswa kupeleka michango ya wafanyakazi wao kwa wakati ili kuondoa usumbufu wanapostaafu. Akizungumza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

FIFA yawafunda wanachama Cecafa

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Jerome Valcke, jana alishindwa kutua nchini kufungua semina ya mawasiliano kwa nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki...

 

10 years ago

Michuzi

TASAF YAWAFUNDA WAANDISHI WA HABARI WA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

 Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF unaendelea kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari ili waweze  kutumia vyombo vya habari vilivyoko kwenye maeneo yao kutangaza habari za Mpango wa kunusuru kaya masikini unaoratibiwa naMfuko huo.
Akifungua mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa utaratibu wa Kikao Kazi Mkurugenzi Mtendajiwa TASAF Bwana Ladislaus Mwamanga amesema kazi ya kutokomeza umaskini nchini inahitaji ushiriki wa wadau mbalimbali vikiwemo vyombo vya habari.
Bwana Mwamanga amesema tangu TASAF...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF YAWAFUNDA WATAALAM WA KISEKTA JUU YA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI-PSSN

Mkurugenzi mtendaji wa TASAF, bwana Ladislaus Mwamanga amesema utekelezaji wa Mpango wa kunusuru kaya Masikini unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini TASAF utasisimua shughuli za maendeleo kwenye maeneo mbalimbali ya nchi ambako utatekelezwa na hivyo kuwa chachu ya maendeleo na  kuondoa kero zinazowakabili wananchi hususani suala la umasikini.
Bwana Mwamanga amesema hayo jiji Dar es salaam alipofungua  warsha ya wataalamu wa kisekta kutoka Tanzania Bara na Zanzibar ambao sekta...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenje aonya makandarasi

MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), ametishia kuwachukulia hatua kali makandarasi watakaojenga miradi ya zahanati na wodi ya wazazi, inayotekelezwa na fedha za Mfuko wa Jimbo (CDCF), chini ya kiwango....

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yawaonya makandarasi

SERIKALI imeonya makandarasi wenye tabia ya kuhonga watumishi wa Serikali ili wapatiwe zabuni za ujenzi wa miradi mbalimbali kuacha mara moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani