Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yawafunda walioshinda mitaa

Baada ya kuibuka na ushindi wa wenyeviti 65 katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema viongozi hao wanapaswa kuonyesha tofauti ya kiutendaji dhidi ya viongozi wa CCM kwa kurejesha misingi ya haki, uwajibikaji kwa watu wote watakaowasimamia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Chadema kujipima serikali za mitaa

Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) limesema uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji utakaofanyika Desemba 14, mwaka huu, utatoa picha halisi ya uwezo wao wa kushika dola katika Uchaguzi Mkuu 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema: Uchaguzi Serikali za Mitaa ulihujumiwa

Kamati Kuu ya Chadema imesema tathmini yao kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 14, mwaka huu imebaini kuwa ulihujumiwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yalia rafu serikali za mitaa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA (CHADEMA), kimelia kufanyiwa fitna mbalimbali ili kukifanya kisishiriki ipasavyo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 4 mwaka huu. Kati ya mbinu hizo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Mbeya yawaonya wasimamizi serikali za mitaa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Mbeya Mjini, kimesema hakitavumilia msimamizi wa uchaguzi atakayeonyesha hali ya kukipendelea Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA YAGARAGAZWA NA CCM KESI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Mahakama ya Wilaya ya Iringa imetoa hukumu ya kutengua matokeo ya mitaa 13 kutoka Manispaa ya Iringa ili kufanya uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa kutokana na kasoro kadhaa zilizojitokeza katika uchaguzi uliofanyika Desemba 14 mwaka 2014.
Hukumu hiyo ilitolewa jana mbele ya mahakamu wakazi wanne ambao ni Andrew Scout, John Mpitanjia, E. Nassoro na Isaya, waliokuwa wanaendesha kesi hizo katika Mahakama ya Wazi ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Iringa.
Chama cha Mapindizi (CCM) kulifungua kesi...

 

10 years ago

Mwananchi

Makilagi: Chadema ‘imeiua’ CUF, NCCR Uchaguzi Mitaa

Mbunge wa Viti Maalumu CCM, Amina Makilagi amesema kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ni janja ya Chadema kufifisha nguvu ya vyama vya CUF na NCCR-Mageuzi.

 

9 years ago

GPL

WABUNGE WALIOSHINDA UCHAGUZI WA 2015

MBUNGE JIMBO CHAMA 1 Dk Charles Tizeba Buchosa CCM 2 Nimrod Mkono Butiama CCM 3 Omar Badwel Chilonwa CCM 4 Kanyasu John Geita Mjini CCM 5 Pudensiana Kikwembe Kavuu CCM 6 Sixtus Mapunda Mbinga Mjini CCM 7 Hassan Masala Nachingwea CCM 8 Abdallah Chikota Nanyamba CCM 9 Richard…

 

9 years ago

Habarileo

Waandishi walioshinda uongozi watakiwa kuacha kazi

MUUNGANO wa Klabu za Waandishi wa Habari Nchini (UTPC), umewataka waandishi wa habari walioshinda nafasi za uongozi wa kisiasa ukiwemo ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni, wajitokeze hadharani kuutangazia umma kuwa sasa wanaachana na kazi za uandishi wa habari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani