WABUNGE WALIOSHINDA UCHAGUZI WA 2015
MBUNGE JIMBO CHAMA 1 Dk Charles Tizeba Buchosa CCM 2 Nimrod Mkono Butiama CCM 3 Omar Badwel Chilonwa CCM 4 Kanyasu John Geita Mjini CCM 5 Pudensiana Kikwembe Kavuu CCM 6 Sixtus Mapunda Mbinga Mjini CCM 7 Hassan Masala Nachingwea CCM 8 Abdallah Chikota Nanyamba CCM 9 Richard…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi15 Oct
RATIBA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS/MGOMBEA MWENZA KWA VYAMA VYA SIASA (KAMA ILIVYOREKEBISHWA TAREHE 15/10/2015) UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI, 2015
KUENDELEA KUANGALIA RATIBA NZIMA BOFYA HAPA.
10 years ago
Dewji Blog20 Aug
Taarifa kwa wabunge na wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wa 2015 Tanzania
Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Rais unatarajia kufanyika hapo mwakani, Wabunge na wanaotaka kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali nchini hata urais mnakaribishwa kuandaa TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA VYAMA VYENU.
Kitabu kama hicho kitakuwezesha wewe Mgombea kutotumia nguvu kuubwa ya kujinadi badala yake utavigawa kwa wananchi mbalimbali jimboni kwako nawe kuelewa nini umewafanyia katika kipindi ambacho ulikuwa madarakani.
Pia wagombea wapya pia wanaweza andaa vitabu kama hivi...
9 years ago
Vijimambo5 years ago
MichuziTume ya Uchaguzi imekutana na vyama vya siasa kujadili na kupitisha kanuni na maadili kwa uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu
Semistocles Kaijage, akizungumza katika Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, akifafanua hoja zilizotolewa na Washiriki wa Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na...
9 years ago
Michuzi9 years ago
VijimamboTUME YA TAIFA TA UCHAGUZI YATOA RATIBA YA MABADILIKO YA MIKUTANO YA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA RAIS, 2015
Chanzo: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Blog
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Chadema yawafunda walioshinda mitaa
9 years ago
Michuzi10 years ago
Mtanzania21 May
Nkurunziza aahirisha uchaguzi wa wabunge
Bujumbura, BURUNDI
RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameahirisha uchaguzi wa wabunge uliokuwa ufanyike Jumanne wiki ijayo kwa siku 10, bila kugusia ule wa urais.
Amri hiyo imetolewa huku makabiliano kati ya polisi na waandamanaji yakiibuka na kutishia umwagikaji wa damu katika taifa hilo.
Msemaji wa Rais, Willy Nyamitwe aliliambia Shirika la Habari la Ufaransa (AFP) kuwa kutokana na jaribio la mapinduzi la wiki iliyopita na vurugu zilizofuatia, ni vema kusogeza mbele kidogo uchaguzi...