Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa kwa wabunge na wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wa 2015 Tanzania

newala 1

Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Rais unatarajia kufanyika hapo mwakani, Wabunge na wanaotaka kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali nchini hata urais mnakaribishwa kuandaa TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA VYAMA VYENU.

Kitabu kama hicho kitakuwezesha wewe Mgombea kutotumia nguvu kuubwa ya kujinadi badala yake utavigawa kwa wananchi mbalimbali jimboni kwako nawe kuelewa nini umewafanyia katika kipindi ambacho ulikuwa madarakani.

Pia wagombea wapya pia wanaweza andaa vitabu kama hivi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: UDASA na ITV Kuandaa Midahalo ya Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015

Mkurugenzi Mtendaji wa ITV na Radio One, Joyce Mhavile (kushoto) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa), Dk Kitila Mkumbo wakikabidhiana nyaraka za makubaliano ya kuandaa midahalo kwa wagombea wa urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Katikati ni Mhadhiri Mwandamizi wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano, Dk Ayoub Rioba.
Picha na Venance Nestory.  


1. Katika nchi za kidemokrasia, midahalo ya wagombea imekuwa ni sehemu muhimu katika...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) YAKATAZA KURUSHA CHOPA BILA KIBALI KWA WAGOMBEA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2015

UTANGULIZITangazo hili linatolewa kwa lengo la kutoa mwongozo kwa watoa huduma za helikopta, marubani wake na umma kwa ujumla kuhusiana na hatua za kiusalama zinazopaswa kuzingatiwa inapolazimika kutoa huduma ya usafiri wa helikopta hapa nchini, hususani, maeneo ya mbali (vijijini) ambapo huduma za uongozaji ndege hazipo au sio maeneo maalum yaliyotengwa kwa ajili ya helikopta kutua (mahsusi kwa helikopta au viwanja vya ndege kwa ujumla). Tangazo hili limetolewa baada ya Mamlaka kugundua...

 

10 years ago

GPL

CHADEMA WATOA UTARATIBU UTEUZI WA WAGOMBEA UCHAGUZI MKUU 2015

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalim (katikati) akitoa taarifa hiyo. Kushoto ni Katibu Mkuu Baraza la Wazee Taifa, Roderick Lutembeka na kulia ni Mkurugenzi wa Bunge ndani ya Chadema Halimashauri Kuu, John Mrema. Wanahabari wakifuatilia mkutano huo. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo kimetoa taarifa yake juu ya utaratibu utakaotumika katika uteuzi wa wagombea ndani ya chama hicho kwa mwaka wa 2015....

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA TATHIMINI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI KWA WAGOMBEA KWA TIKETI YA CCM.

MWENENDO WA KAMPENI ZA CCM
Hadi jana, tarehe 16 September 2015, Mgombea Urais wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli, alikuwa amekwishafanya kampeni katika mikoa 12 na Majimbo 94. Amekwishafanya mikutano mikubwa ya hadhara 76 na mikutano ya barabarani 381. Amekwishatembea, kwa gari, jumla ya kilomita 13,720. Kwa ujumla amekwishakutana, moja kwa moja, na asilimia zaidi ya 30 ya wapiga kura. Kwa kuwa baadhi ya mikutano yetu inatangazwa moja kwa moja na redio za kijamii na luninga, wapiga kura...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015 KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015
KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA
KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU
 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu tangazo lake lililotolewa kwenye vyombo vya habari tarehe 11 Septemba, 2015 kuhusu vipindi vinavyorushwa moja kwa moja wakati wa kampeni za uchaguzi
mkuu.  Ufafanuzi huu unatolewa kutokana na maoni...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

TAARIFA YA MWENYEKITI WA ZEC MHE. JECHA SALIM JECHA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2015

http://zec.go.tz/en/?p=1673

The post TAARIFA YA MWENYEKITI WA ZEC MHE. JECHA SALIM JECHA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2015 appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

Taarifa juu ya midahalo ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Oktoba 12, 2015

Kumekuwepo juhudi za asasi za kiraia na vyombo vya habari kuandaa midahalo ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Juhudi hizi zimefanywa kwa nyakati na namna tofauti ili kukidhi kiu ya Watanzania kuwapima wagombea hao kwa kuwauliza maswali muhimu kabla ya kuwapa ridhaa ya kuwaongoza.
Kwa sasa mashirika ya CEO Roundtable Tanzania, Tanzania Media Foundation (TMF), Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), na Twaweza  wameungana katika kuendeleza juhudi za kufanikisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani