Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nkurunziza aahirisha uchaguzi wa wabunge

Rais PierreBujumbura, BURUNDI
RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameahirisha uchaguzi wa wabunge uliokuwa ufanyike Jumanne wiki ijayo kwa siku 10, bila kugusia ule wa urais.
Amri hiyo imetolewa huku makabiliano kati ya polisi na waandamanaji yakiibuka na kutishia umwagikaji wa damu katika taifa hilo.
Msemaji wa Rais, Willy Nyamitwe aliliambia Shirika la Habari la Ufaransa (AFP) kuwa kutokana na jaribio la mapinduzi la wiki iliyopita na vurugu zilizofuatia, ni vema kusogeza mbele kidogo uchaguzi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Nkurunziza aahirisha uchaguzi wa ubunge kwa siku kumi.

Rais wa Burundia Pierre Nkurunziza amehairisha uchaguzi wa ubunge kwa siku kumi .

Msemaji wa rais Willy Nyamitwe ameiambia shirika la habari la AFP kuwa kufuatia jaribio la mapinduzi juma lililopita na vurugu zilizofuatia ni bora kuahirisha uchaguzi huo kwa muda.

”Uchaguzi huo wa ubunge ulikuwa umeratibiwa kufanyika tarehe 26 mwezi Mei lakini sasa inatubidi kuihairisha ili kuwasikiza washirika wetu wa kimataifa pamoja na tume ya uchaguzi ambayo pia inatumia muda huo kutatua maswali...

 

10 years ago

GPL

RAIS PIERRE NKURUNZIZA ASOGEZA MBELE UCHAGUZI WA WABUNGE BURUNDI

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza amesogeza mbele uchaguzi wa wabunge kwa siku 10 hadi Juni 5 mwaka huu kufuatia jaribio la mapinduzi. Mmoja wa waandamanaji akiwa kapiga magoti mbele ya askari polisi. Msemaji wa Rais, Willy Nyamitwe ameliambia Shirika la Habari la AFP kuwa kufuatia jaribio la mapinduzi la wiki iliyopita na vurugu zilizofuatia ni bora kusogeza mbele uchaguzi huo kwa muda....

 

10 years ago

Habarileo

Nkurunziza hadharani, uchaguzi hatihati

Rais Pierre Nkurunziza wa BurundiKWA mara ya kwanza tangu kuwapo jaribio la kumpindua Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, kiongozi huyo jana alijitokeza hadharani kuzungumza na waandishi wa habari.

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi:Nkurunziza ahairisha uchaguzi

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amehairisha uchaguzi wa ubunge kwa siku 10 .Uchaguzi wa urais unaendelea mbele

 

10 years ago

BBCSwahili

Nkurunziza azungumza kuhusu uchaguzi

Marekani na jumuiya ya Ulaya wote wameitisha kuahirishwa kw a uchaguzi wa Burundi kufuatia wiki kadhaa za ghasia zinazopinga ugombeaji wa Pierre Nkurunziza

 

10 years ago

BBCSwahili

Nkurunziza:hatajiondoa kwenye uchaguzi

Msemaji wa rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ameapa kuwa rais huyo hatajiondoa katika uchaguzi mkuu ujao licha ya shinikizo dhidi yake

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Nkurunziza asema uchaguzi ni lazima

Rais Nkurunziza ameiambia BBC kwamba kuahirishwa kwa uchaguzi kutaliingiza taifa hilo katika mgogoro mkubwa zaidi.

 

5 years ago

Michuzi

Tume ya Uchaguzi imekutana na vyama vya siasa kujadili na kupitisha kanuni na maadili kwa uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020



Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu
Semistocles Kaijage, akizungumza katika Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, akifafanua hoja zilizotolewa na Washiriki wa Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani