TASAF YAWAFUNDA WAANDISHI WA HABARI WA MIKOA YA LINDI NA MTWARA
![](http://2.bp.blogspot.com/-xq8VwENi8DA/VRMBILWwSHI/AAAAAAAHNPQ/xVAzGYL-tDI/s72-c/New%2BPicture.png)
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF unaendelea kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari ili waweze kutumia vyombo vya habari vilivyoko kwenye maeneo yao kutangaza habari za Mpango wa kunusuru kaya masikini unaoratibiwa naMfuko huo.
Akifungua mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa utaratibu wa Kikao Kazi Mkurugenzi Mtendajiwa TASAF Bwana Ladislaus Mwamanga amesema kazi ya kutokomeza umaskini nchini inahitaji ushiriki wa wadau mbalimbali vikiwemo vyombo vya habari.
Bwana Mwamanga amesema tangu TASAF...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNHIF YAWAFUNDA WAANDISHI HABARI PAMOJA NA JUMUIYA YA MASHEIKH WA JUMUIYA YA ZAWIYATUL QADIRIA
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
Kinana kuanza ziara ya mikoa ya Mtwara na Lindi
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,CCM Ofisi ndogo Lumumba.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Lumumba jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alisema kuwa Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara za Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa...
9 years ago
StarTV04 Dec
Waandishi wa habari wajengewa uwezo Mtwara kuandika Habari Za Gesi Na Mafuta
Mradi wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari wanaoandika habari za gesi na mafuta katika nchi tatu za Afrika, Tanzania, Uganda na Ghana unaoendeshwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira JET pamoja na wadau wengine umeanza kuzaa matunda baada ya kuwepo kwa ongezeko la habari zinazogusa sekta hiyo mpya hapa nchini.
Katika awamu ya pili ya mafunzo hayo kwa waandishi wa habari wanane wa Tanzania ambao hapo awali walihudhuria mafunzo hayo mjini Accra Ghana, imebainishwa kuwa tangu...
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Nakala za Katiba zinavyogeuka lulu mikoa ya Lindi, Mtwara
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-kc0Mtq8EDEw/VGYegpmgmfI/AAAAAAAGxOY/pPN6Tdk5qyA/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
KINANA KUANZA ZIARA YA SIKU 16 MIKOA YA LINDI NA MTWARA, KESHO NOV 15
![](http://1.bp.blogspot.com/-kc0Mtq8EDEw/VGYegpmgmfI/AAAAAAAGxOY/pPN6Tdk5qyA/s1600/unnamed%2B(37).jpg)
Ziara hii ya Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahaman Kinana ni muendelezo wa...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MIKOA YA LINDI, MTWARA
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene amefanya ziara mkoani Lindi na Mtwara mwanzoni mwa wiki kukagua miradi mbalimbali iliyo chini ya Wizara yake ambapo aliahidi huduma za umeme na maji kwa wananchi mbalimbali.
Akiwa Madimba mkoani Mtwara, baada ya kupokea taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa mtambo wa kuchakata gesi, Waziri Simbachawene alimwagiza Msimamizi Mkuu wa Mradi wa Bomba la gesi, Mhandisi Kapuulya Musomba kutoa huduma ya maji safi kwa wananchi wanaozunguka...
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Waziri Membe apata wadhamini zaidi ya 800 katika mikoa ya Lindi na Mtwara
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, waliofika kwenye Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.(Picha zote na John Badi).
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa...