KINANA KUANZA ZIARA YA SIKU 16 MIKOA YA LINDI NA MTWARA, KESHO NOV 15
![](http://1.bp.blogspot.com/-kc0Mtq8EDEw/VGYegpmgmfI/AAAAAAAGxOY/pPN6Tdk5qyA/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi CCM,Nape NnauyeKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahaman Kinana kesho November 15, 2014 anatarajia kuanza Ziara katika Mikoa ya Kusini (Lindi na Mtwara). Ziara hiyo ya Katibu Mkuu inategemea kuanza kesho katika wilaya ya Kilwa iliyopo Lindi na Kisha kuendelea katika wilaya zingine kwa takribani siku kumi na sita za kutembelea majimbo, kata, matawi na mashina ya Chama Cha Mapinduzi.
Ziara hii ya Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahaman Kinana ni muendelezo wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
Kinana kuanza ziara ya mikoa ya Mtwara na Lindi
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,CCM Ofisi ndogo Lumumba.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Lumumba jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alisema kuwa Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara za Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-VboRZ7JFpTE/U2njcX3_SSI/AAAAAAAAmHk/hJh9oYik4PI/s72-c/SKU+26.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA KUANZA ZIARA YA SIKU 26 KESHO, MIKOA YA TABORA, SINGIDA NA MANYARA
*NI YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM *KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
* KUKAGUA MAANDALIZI YA CHAMA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
![](http://2.bp.blogspot.com/-VboRZ7JFpTE/U2njcX3_SSI/AAAAAAAAmHk/hJh9oYik4PI/s1600/SKU+26.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-QwL3meGMo9I/VGXO-kGJdKI/AAAAAAAAS-s/hVtERESHCmg/s72-c/uh.jpg)
KINANA KUANZA ZIARA LINDI NA MTWARA
![](http://4.bp.blogspot.com/-QwL3meGMo9I/VGXO-kGJdKI/AAAAAAAAS-s/hVtERESHCmg/s1600/uh.jpg)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Lumumba jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alisema kuwa Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara za Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MIKOA YA LINDI, MTWARA
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene amefanya ziara mkoani Lindi na Mtwara mwanzoni mwa wiki kukagua miradi mbalimbali iliyo chini ya Wizara yake ambapo aliahidi huduma za umeme na maji kwa wananchi mbalimbali.
Akiwa Madimba mkoani Mtwara, baada ya kupokea taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa mtambo wa kuchakata gesi, Waziri Simbachawene alimwagiza Msimamizi Mkuu wa Mradi wa Bomba la gesi, Mhandisi Kapuulya Musomba kutoa huduma ya maji safi kwa wananchi wanaozunguka...
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Naibu Waziri Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza leo katika hospitali za rufaa mikoa ya Lindi na Mtwara
Kaimu Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Damasiana Msalla akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla kuelekea kwenye wodi za hospitali wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya mkoa wa Lindi.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo Kasanga akimkaribisha Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-VarHjdiDr4o/VW6-4pQDTmI/AAAAAAAAc0g/THgTFRvMkm8/s72-c/1.jpg)
KINANA KUANZA ZIARA KESHO KUELEKEA KAGERA, GEITA ,MWANZA
![](http://2.bp.blogspot.com/-VarHjdiDr4o/VW6-4pQDTmI/AAAAAAAAc0g/THgTFRvMkm8/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-SYNGIIs8emk/VW6-8Ooz64I/AAAAAAAAc0o/Gi5zyTDkupE/s320/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-VknHdaU707k/VW6_BFZN6WI/AAAAAAAAc0w/XC2ImafIWow/s320/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DU0-Dikd1jw/VW6_BnwMKMI/AAAAAAAAc00/gDIQOdjvgyA/s640/4.jpg)
10 years ago
Habarileo04 Jan
Kinana kuanza ziara ya siku 2 Tanga
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuwasili leo kwa ajili ya kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili katika baadhi ya wilaya za mkoa wa Tanga.