Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTARATIBU WA KISHERIA UNAPONUNUA ARDHI YA KIJIJI.

                 KUSOMA  ZAIDI  links  goes  to  sheriayakub.blogspot.comNa  Bashir  Yakub.

Tulipoandika namna  bora  na  taratibu  maalum  za  kufuata unapotaka  kununua  ardhi  tulisema  pia   kuwa   taratibu  za  ununuzi  wa  ardhi  huwa  zinatofautiana  kutegemea  na   mazingira  ya  kila  ardhi. 
Tukasema  unaponunua  ardhi  kwa  msimamizi  wa  mirathi  ni  tofauti  na  unaponunua  kwa  mmiliki  mwenyewe. Unaponunua  ardhi  ya  familia  ni  tofauti  na  unaponunua  isiyo  ya ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kupata ardhi kisheria-1

Ardhi ni mali na watu wanajipatia ardhi kwa njia mbalimbali. Leo tutaangalia njia mbadala ambazo watu hujipatia ardhi hapa nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Haki za mmiliki wa ardhi kisheria

Watu wengi humiliki ardhi kwa njia zozote zinazotambulika kisheria kama kukaa muda mrefu, kwa kurithi au kupewa.

 

10 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kununua ardhi kisheria

Uwanjani leo tutajikita kwenye kupata ardhi kwa njia ya kununua (by purchase) , wiki iliyopita tuliangalia upatikanaji wa ardhi kwa njia ya kugawiwa na Serikali ( by allocation).

 

10 years ago

Mwananchi

Haki za mmiliki wa ardhi kisheria-2

Uwanja wa Kambole ni ukurasa unaokuletea uchambuzi wa sheria za aina mbalimbali. Tulianza na sheria za ajira, sasa tupo kwenye sheria za ardhi lengo ni kukupa ufahamu kiasi na uelewa wa sheria mbalimbali.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatua ya kubadili umiliki wa hati ya ardhi kisheria

Makala hii ni mwendelezo wa makala iliyopita. Umechukua hatua za msingi wakati wa kununua ardhi na umejiridhisha kuwa sasa hiyo ardhi ni mali yako kwa mujibu wa mkataba uliojaza na kusainiwa mbele ya mwanasheria?

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NJIA YA KISHERIA YA KUKUEPUSHA KUNUNUA ARDHI YENYE MGOGORO.

Na Bashir YakubMakala zilizopita  nilieleza   mambo au taarifa muhimu  zinazopaswa kuwa kwenye  mkataba wako  unapokuwa unanunua  nyumba/kiwanja. Nikasema  katika niliyosema  kuwa mkataba  lazima uoneshe  ukitokea mgogoro  utatatuliwa vipi,  ueleze kuwa  utapotokea mgogoro  muuzaji  lazima  awajibike kuhakikisha anakupa ushirikiano  mnunuzi  ili kumaliza  mgogoro huo na kuwa muuzaji  kama ana  mke  basi  mke wake ni lazima  aandaiiwe  nyaraka iitwayo  ridhaa ya mwanandoa ambayo  ni  tofauti ...

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MAMBO YA MSINGI KISHERIA KUHUSU UMILIKI WA ARDHI WA PAMOJA

Na  Bashir  Yakub.
Ardhi  inaweza  kumilikiwa  na  mtu  zaidi  ya  mmoja. Inaweza  kuwa  nyumba  au  kiwanja.  Vyote  hivi  vinaweza  kumilikiwa  na  mtu  zaidi  ya  mmoja. Kumiliki ardhi  kwa  zaidi  ya  mtu  mmoja  sio  lazima  iwe  kwa  wanandoa. Inaweza  kuwa  ndugu ,  marafiki ,  kikundi  cha  watu kama  wafanyabiashara, wana  saccos, kikundi  cha  michezo  na  aina  yoyote  ya  kikundi  cha  kimaendeleo.  Umiliki  wa  ardhi  kwa  pamoja  unatofauti  na  umiliki  binafsi  yaani umiliki...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KISHERIA MKATABA WA PANGO, NA WA KUNUNULIA ARDHI WAWEZA KUTUMIKA KUPATIA MKOPO

Na  Bashir  Yakub.
Sheria  ya  ardhi  ni pana   na  ina mambo    mengi.  Kila  nikipata  nafasi  huwa  najitahidi  kueleza  japo machache  ili   watu waweze  kuelewa  masuala  mbalimbali   kuhusu  ardhi.  Ardhi  ni  rasimali  nyeti  mno  na hivyo  ni  tatizo  kubwa   kuishi  bila  kujua mambo  ya msingi  na ya kisheria  kuhusu  ardhi. Kutokujua  ni  moja  ya  sababu inayopelekea  umaskini  wakati  utajiri  upo  mikononi  mwako na  upande  mwingine husababisha migogoro  ya ardhi  inayoongezeka...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JIHADHARI, HAYA NI MAZINGIRA KISHERIA AMBAPO ALIYEKUUZIA ARDHI ANAWEZA KUDAI TENA UMILIKI NA AKAUPATA

Na  Bashir  Yakub.
Kisheria yapo  mazingira  ambapo  mtu  aliyeuza  ardhi  anaweza  kuidai tena  ardhi  ileile  aliyouza kutoka kwa mnunuzi na  akaipata. Na  hapa  haijalishi  kama  mnunuzi  ameiendeleza  ardhi  kwa  kiasi  gani au  amebadilisha hati na kuingia  jina  lake  na  vitu  vingine  kama  hivyo.  
Sheria  imetoa  haki  hii  kwa  muuzaji  hasa  iwapo  masharti  katika   mkataba  wa  mauziano  yamevunjwa. Kwa  kawaida  kila  mkataba  wa  mauziano  ya  ardhi  huwa  na  masharti  ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani