Jinsi ya kununua ardhi kisheria
Uwanjani leo tutajikita kwenye kupata ardhi kwa njia ya kununua (by purchase) , wiki iliyopita tuliangalia upatikanaji wa ardhi kwa njia ya kugawiwa na Serikali ( by allocation).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Jinsi ya kupata ardhi kisheria-1
Ardhi ni mali na watu wanajipatia ardhi kwa njia mbalimbali. Leo tutaangalia njia mbadala ambazo watu hujipatia ardhi hapa nchini.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RUgLk69J7eM/VNURpVFQ7RI/AAAAAAAHCRc/dIoatbIjG64/s72-c/download%2B(1).jpg)
MAKALA YA SHERIA: NJIA YA KISHERIA YA KUKUEPUSHA KUNUNUA ARDHI YENYE MGOGORO.
![](http://3.bp.blogspot.com/-RUgLk69J7eM/VNURpVFQ7RI/AAAAAAAHCRc/dIoatbIjG64/s1600/download%2B(1).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jxDOqgkuqYw/VK1j9-03k9I/AAAAAAAG73k/y-0eDApYag0/s72-c/images.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JIFUNZE NAMNA YA KUANDIKA MKATABA KISHERIA UNAPOUZA AU KUNUNUA
![](http://4.bp.blogspot.com/-jxDOqgkuqYw/VK1j9-03k9I/AAAAAAAG73k/y-0eDApYag0/s1600/images.jpg)
Na Bashir YakubKatika shughuli zetu za kuuza na kununua ambazo tunazifanya kila siku mikataba ya maandishi ni jambo ambalo wengi tunakutana nalo. Mikataba hii iwe rasmi au isiwe rasmi suala la msingi ni kuwa huwa tunaifanya. Aidha wakati mwingine si wote wenye kuhusisha suala la mikataba ya maandishi katika makubaliano yaombalimbali na hii hutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kuaminiana. Kuhusu kuaminiana niseme jambo moja tu kuwa suala la mikataba ni muhimusana hata kana ...
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
George Floyd: Jinsi Wamarekani weusi wanavyokabiliwa kisheria?
We've looked at some of the data around ethnicity and the US crime and justice system.
10 years ago
Mwananchi05 Feb
Haki za mmiliki wa ardhi kisheria-2
Uwanja wa Kambole ni ukurasa unaokuletea uchambuzi wa sheria za aina mbalimbali. Tulianza na sheria za ajira, sasa tupo kwenye sheria za ardhi lengo ni kukupa ufahamu kiasi na uelewa wa sheria mbalimbali.
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Haki za mmiliki wa ardhi kisheria
Watu wengi humiliki ardhi kwa njia zozote zinazotambulika kisheria kama kukaa muda mrefu, kwa kurithi au kupewa.
9 years ago
Michuzi29 Sep
UTARATIBU WA KISHERIA UNAPONUNUA ARDHI YA KIJIJI.
KUSOMA ZAIDI links goes to sheriayakub.blogspot.comNa Bashir Yakub.Tulipoandika namna bora na taratibu maalum za kufuata unapotaka kununua ardhi tulisema pia kuwa taratibu za ununuzi wa ardhi huwa zinatofautiana kutegemea na mazingira ya kila ardhi.
Tukasema unaponunua ardhi kwa msimamizi wa mirathi ni tofauti na unaponunua kwa mmiliki mwenyewe. Unaponunua ardhi ya familia ni tofauti na unaponunua isiyo ya ...
Tukasema unaponunua ardhi kwa msimamizi wa mirathi ni tofauti na unaponunua kwa mmiliki mwenyewe. Unaponunua ardhi ya familia ni tofauti na unaponunua isiyo ya ...
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Hatua ya kubadili umiliki wa hati ya ardhi kisheria
Makala hii ni mwendelezo wa makala iliyopita. Umechukua hatua za msingi wakati wa kununua ardhi na umejiridhisha kuwa sasa hiyo ardhi ni mali yako kwa mujibu wa mkataba uliojaza na kusainiwa mbele ya mwanasheria?
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Unataka kununua ardhi? Zingatia haya
Ni Watanzania wengi wanamiliki ardhi. Pia ni wengi ambao wana kesi kwenye mabaraza ya ardhi na mahakamani kuhusu ardhi. Wengine wamedhulumiwa fedha au kula hasara kwa kununua ardhi bila kujua mambo muhimu ya kuangalia.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania