Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unataka kununua ardhi? Zingatia haya

Ni Watanzania wengi wanamiliki ardhi. Pia ni wengi ambao wana kesi kwenye mabaraza ya ardhi na mahakamani kuhusu ardhi. Wengine wamedhulumiwa fedha au kula hasara kwa kununua ardhi bila kujua mambo muhimu ya kuangalia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Zingatia haya wakati wa kujifungua

Tangu mimba inatungwa na kipindi chote cha ujauzito ni wakati muhimu mno kwa mjamzito, lakini wakati muhimu zaidi ni wakati wa kujifungua.

 

11 years ago

GPL

UMECHOSHWA NA UPWEKE? ZINGATIA HAYA

NI wiki nyingine ambapo Mwenyezi Mungu ametujaalia kukutana katika busati letu la mahaba ambapo tunajadiliana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Kwa ndugu zangu ambao mpo kwenye mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, nawatakia mfungo mwema. Tukirudi kwenye mada yetu ya hapo juu, leo nataka kuzungumza na wewe rafiki yangu ambaye umri wa kuingia kwenye ndoa umefika lakini bado hujabahatika kumpata mwenzi wako ambaye...

 

9 years ago

Mwananchi

Zingatia haya ununuapo vifaa vya Tehama

Kuna jamaa yangu mmoja aliniomba ushauri kuhusu uchaguzi mzuri wa kompyuta. Nikamsaidia lakini akasema anataka kununua nje ya nchi kwa sababu huko ni gharama nafuu.

 

10 years ago

Michuzi

UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA


Na  Bashir  Yakub

Katika adhima ya  ya mwendelezo wa makala za namna ya kuendesha kampuni leo tena tuangalie  kuhusu hisa na hasa namna ya kuhamisha hisa.
HISA NININI.

Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi  ni kusema kuwa hisa  ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni  ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA

Na  Bashir  YakubKatika adhima ya  ya mwendelezo wa makala za namna ya kuendesha kampuni leo tena tuangalie  kuhusu hisa na hasa namna ya kuhamisha hisa. 
HISA NININI.Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi  ni kusema kuwa hisa  ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni  ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...

 

9 years ago

Global Publishers

Unataka kuishi kwa amani na furaha? Haya yanakuhusu!

Kuna watu huko mtaani hawajui mtaji wa kuishi maisha ya furaha. Wapo wanaodhani ukishakuwa na fedha basi maisha umeyapatia.

Tambua kwamba, wapo watu wana pesa nyingi, wameoa wake wazuri, wana uwezo wa kufanya kila wanalotaka lakini bado maisha yao hayana amani, kwa nini? Kwa sababu hawajui nguzo za kujijengea maisha ya furaha na amani.

Wiki hii nimeona nikupe mambo 10 ambayo kama utayatimiza, utaishi maisha mazuri hapa duniani na pia maisha mazuri baada ya kifo (kwa wale tunaoamini kwamba...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: UNATAKA NYUMBA/KIWANJA, HAKIKISHA HAYA KISHERIA USITAPELIWE

Na  Bashir   Yakub
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba  hasa maeneo ya mijini.  Kwa utafiti wa kawaida utagundua kwa haraka baadhi ya sababu ambazo husababisha hali hii.Uaminifu, tamaa, kutelekeza maeneo kwa muda mrefu, utendaji mbovu wa  baadhi ya watumishi katika mamlaka za ardhi, uzembe na kutojali ni baadhi ya sababu  ambazo huchangia kuwapo  na kukua kwa tatizo hili. 
Baada ya kuwapo  tatizo hili wajibu mkubwa umebaki kwa watu wenyewe kuwa makini na...

 

10 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kununua ardhi kisheria

Uwanjani leo tutajikita kwenye kupata ardhi kwa njia ya kununua (by purchase) , wiki iliyopita tuliangalia upatikanaji wa ardhi kwa njia ya kugawiwa na Serikali ( by allocation).

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NJIA YA KISHERIA YA KUKUEPUSHA KUNUNUA ARDHI YENYE MGOGORO.

Na Bashir YakubMakala zilizopita  nilieleza   mambo au taarifa muhimu  zinazopaswa kuwa kwenye  mkataba wako  unapokuwa unanunua  nyumba/kiwanja. Nikasema  katika niliyosema  kuwa mkataba  lazima uoneshe  ukitokea mgogoro  utatatuliwa vipi,  ueleze kuwa  utapotokea mgogoro  muuzaji  lazima  awajibike kuhakikisha anakupa ushirikiano  mnunuzi  ili kumaliza  mgogoro huo na kuwa muuzaji  kama ana  mke  basi  mke wake ni lazima  aandaiiwe  nyaraka iitwayo  ridhaa ya mwanandoa ambayo  ni  tofauti ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani