Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unataka kuishi kwa amani na furaha? Haya yanakuhusu!

Kuna watu huko mtaani hawajui mtaji wa kuishi maisha ya furaha. Wapo wanaodhani ukishakuwa na fedha basi maisha umeyapatia.

Tambua kwamba, wapo watu wana pesa nyingi, wameoa wake wazuri, wana uwezo wa kufanya kila wanalotaka lakini bado maisha yao hayana amani, kwa nini? Kwa sababu hawajui nguzo za kujijengea maisha ya furaha na amani.

Wiki hii nimeona nikupe mambo 10 ambayo kama utayatimiza, utaishi maisha mazuri hapa duniani na pia maisha mazuri baada ya kifo (kwa wale tunaoamini kwamba...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je unataka kuishi maisha marefu duniani ?

Utafiti wa miaka saba huko China unaonesha kuwa ukila vyakula hivi unajiongezea siku zako duniani,soma utafiti.

 

9 years ago

Michuzi

PINDA: NAMALIZA UONGOZI KWA AMANI, FURAHA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*Asihi viongozi, watumishi wa umma wasiache kumuomba Mungu
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema anamshukuru Mungu kwa kumuwezesha kumaliza salama utumishi wake Serikalini kwenye ngazi za juu ambao umedumu kwa takriban miaka 15.
Akizungumza na waumini wa Kanisa Katoliki wakati wa Ibada ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Anna iliyoko Hananasifu, Kinondoni leo mchana (Jumapili, Oktoba 18, 2015), Waziri Mkuu Pinda amesema anamshukuru Mungu kwa nafasi aliyopewa ya...

 

11 years ago

GPL

UNATAKA KUISHI KIMAPENZI? CHUKUA MUONGOZO HUU!

Tupo kwenye msimu wa wapendanao, tunaelekea ile siku inayoitwa Valentine’s Day. Kuna mambo ni vizuri kuwekana sawa. Mapenzi sahihi ni yale yenye alama za kimapenzi na lazima uwe na muongozo unaofaa.
Saikolojia inafundisha kuwa muungwana ni yule anayejifunza kupunguza msongo wa mawazo, kuongeza furaha na kukuza umakini. Hii inamaana kwamba yule anayetumia muda mwingi kufikiria vitu hasi hana ufanisi mzuri kijamii na hata...

 

11 years ago

GPL

UNATAKA KUISHI KIMAPENZI? CHUKUA MUONGOZO HUU!- 2

Katika muongozo huu wa kuishi kimapenzi.Wiki iliyopita nilikutaka ujifunze kuweka maudhi ya pembeni kando unapokuwa na mwenzi wako. Unapovuka kizingiti cha mlango, hakikisha hasira zote unaziacha hapo ili unapoingia ndani kichwa chako kiwe chepesi kupokea yaliyomo ndani ya nyumba. Inahitaji hekima za hali ya juu kusahau maudhi ya nje haraka, kwani wengi wamekuwa shubiri kwa wapenzi wao. Anaingia ndani, mwenzake anampokea kwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Je Unataka kwenda kuishi kufanya kazi Marekani? Nafasi ni Yako

Hauitajika kulipa hata senti tano ni buree! Jaribu bahati yako, muda uliobakia ni mchache sana. Mwisho wa kutuma maombi ni November 3, 2015.

Kila mwaka Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wa Marekani imekuwa ikitoa nafasi ya kutuma maombi ya watu kwenda kuishi Marekani kupitia mpango ujulikano kama “Diversity Visa program (DV-2017)”. Ni kama vile bahati nasibu na hapa  hautakiwi kutoa au kulipa chochote zaidi ya kuwa na picha yako ya digitali na kujaza maelezo machache kupitia mtandao wao...

 

10 years ago

Mwananchi

Unataka kununua ardhi? Zingatia haya

Ni Watanzania wengi wanamiliki ardhi. Pia ni wengi ambao wana kesi kwenye mabaraza ya ardhi na mahakamani kuhusu ardhi. Wengine wamedhulumiwa fedha au kula hasara kwa kununua ardhi bila kujua mambo muhimu ya kuangalia.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: UNATAKA NYUMBA/KIWANJA, HAKIKISHA HAYA KISHERIA USITAPELIWE

Na  Bashir   Yakub
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba  hasa maeneo ya mijini.  Kwa utafiti wa kawaida utagundua kwa haraka baadhi ya sababu ambazo husababisha hali hii.Uaminifu, tamaa, kutelekeza maeneo kwa muda mrefu, utendaji mbovu wa  baadhi ya watumishi katika mamlaka za ardhi, uzembe na kutojali ni baadhi ya sababu  ambazo huchangia kuwapo  na kukua kwa tatizo hili. 
Baada ya kuwapo  tatizo hili wajibu mkubwa umebaki kwa watu wenyewe kuwa makini na...

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Kukosa amani ya akili huweza kufanya maisha yasiwe ya furaha

   Nilipowaza kuandika makala hii nilikuwa na wasiwasi kama wasomaji wangu wataelewa maana ya amani ya akili ni kitu gani hasa, kwa kuwa wamezoea kulitumia neno amani kuhusu jamii au taifa. Tumezoea kusikia watu wakisema nchi yetu ni ya amani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani