PINDA: NAMALIZA UONGOZI KWA AMANI, FURAHA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*Asihi viongozi, watumishi wa umma wasiache kumuomba Mungu
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema anamshukuru Mungu kwa kumuwezesha kumaliza salama utumishi wake Serikalini kwenye ngazi za juu ambao umedumu kwa takriban miaka 15.
Akizungumza na waumini wa Kanisa Katoliki wakati wa Ibada ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Anna iliyoko Hananasifu, Kinondoni leo mchana (Jumapili, Oktoba 18, 2015), Waziri Mkuu Pinda amesema anamshukuru Mungu kwa nafasi aliyopewa ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania19 Oct
Pinda: Namaliza utumishi wangu salama
NA MWANDISHI WETU
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema anamshukuru Mungu kwa kumwezesha kumaliza salama utumishi wake serikalini.
Akizungumza na waumini wa Kanisa Katoliki wakati wa Ibada ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Anna iliyoko Hananasifu, Kinondoni Dar es Salaam jana, Waziri Mkuu Pinda alisema anamshukuru Mungu kwa kuwa amelitumikia Taifa kwa miaka 15 akiwa katika nafasi za juu serikalini.
“Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kulitumikia Taifa nikiwa Waziri Mkuu kwa miaka minane na miezi...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Unataka kuishi kwa amani na furaha? Haya yanakuhusu!
Kuna watu huko mtaani hawajui mtaji wa kuishi maisha ya furaha. Wapo wanaodhani ukishakuwa na fedha basi maisha umeyapatia.
Tambua kwamba, wapo watu wana pesa nyingi, wameoa wake wazuri, wana uwezo wa kufanya kila wanalotaka lakini bado maisha yao hayana amani, kwa nini? Kwa sababu hawajui nguzo za kujijengea maisha ya furaha na amani.
Wiki hii nimeona nikupe mambo 10 ambayo kama utayatimiza, utaishi maisha mazuri hapa duniani na pia maisha mazuri baada ya kifo (kwa wale tunaoamini kwamba...
11 years ago
Habarileo23 Feb
Pinda akemea uongozi kwa fedha
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mizengo Pinda ameungana na uongozi wa juu wa chama hicho kukemea matumizi ya fedha katika kusaka uongozi.
11 years ago
Habarileo28 Jul
Pinda: Kataeni wanaotaka uongozi kwa kutoa rushwa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameonya Watanzania kuwa makini na watu wanaotumia rushwa, ili kupata nafasi za uongozi na hasa kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2015.
9 years ago
Mwananchi27 Dec
SAIKOLOJIA : Kukosa amani ya akili huweza kufanya maisha yasiwe ya furaha
9 years ago
StarTV22 Oct
Uongozi mkoa wa Shinyanga, wadau wakutana kujadili suala la amani.
Uongozi wa mkoa wa Shinyanga umekutana na wadau mbalimbali pamoja na kamati ya ulinzi na usalama mkoa kujadili ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika jumapili hii Oktoba 25.
Ajenda kuu ya kikao hiki ni ulinzi na usalama katika kipindi cha uchaguzi mkuu hususani ulinzi wa mtoto.
Kamati ya ulinzi na usalama chini ya mkuu wa mkoa kwa kushirikiana na shirika la kutetea haki za watoto la Save the children imeandaa kikao maalum kwa lengo la...
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
Pinda akutana na uongozi wa kampuni ya China Merchant Group
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimwonyesha Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchants, Group, Bw. Li Xiaopeng jarida linaloonyesha fursa za uwekezaji nchi lililotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania katika mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Wazri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 2015. Kampuni hiyo Inatarajiwa kuanza ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hivi karibuni. (Picha bna Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Rais wa Burundi Pierr Nkurunzinza katika chakula cha...
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Pinda: Amani si Meya Bukoba
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amefuta ndoto za aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani akisema kuwa, Serikali inatambua kuwa alijiuzulu tangu Januari mwaka huu, ilipowasilishwa ripoti ya Mdhibiti...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0amyU4BLGNk/Vkv2Qu-6iSI/AAAAAAAAJMM/qOgmVVxutm0/s72-c/Daraja%2Bla%2Bmbweni%2Bjkt.jpg)
Kukamilika kwa daraja la Mbweni JKT ni furaha kwa wananchi
![](http://2.bp.blogspot.com/-0amyU4BLGNk/Vkv2Qu-6iSI/AAAAAAAAJMM/qOgmVVxutm0/s640/Daraja%2Bla%2Bmbweni%2Bjkt.jpg)
Katika pita pita ya mitandaoni, tuliona picha hizi ambazo tayari zimeshapokewa kwa shangwe kutokana na wananchi hao kuanza kulitumia. Ikumbukwe kwamba kutokuwapo kwa daraja hili kulileta usumbufu mkubwa kwa wananchi. Kabla ya uwapo wa daraja hili, magari...