Je Unataka kwenda kuishi kufanya kazi Marekani? Nafasi ni Yako
Hauitajika kulipa hata senti tano ni buree! Jaribu bahati yako, muda uliobakia ni mchache sana. Mwisho wa kutuma maombi ni November 3, 2015.
Kila mwaka Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wa Marekani imekuwa ikitoa nafasi ya kutuma maombi ya watu kwenda kuishi Marekani kupitia mpango ujulikano kama “Diversity Visa program (DV-2017)”. Ni kama vile bahati nasibu na hapa hautakiwi kutoa au kulipa chochote zaidi ya kuwa na picha yako ya digitali na kujaza maelezo machache kupitia mtandao wao...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu
Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.
“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”
Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.
Jionee picha hizo.
By Mzee wa Ubuyu
10 years ago
Vijimambo04 Jul
NAFASI YA KAZI UBALOZI WA MAREKANI
EMPLOYMENT OPPORTUNITY
PROCUREMENT AGENT (RE-ADVERTISED)ALL ORDINARILY RESIDENT (OR) APPLICANTS MUST HAVE THE REQUIRED WORK AND/OR RESIDENCY PERMITS TO BE ELIGIBLE FOR CONSIDERATION.The US Embassy is seeking for an individual for the position of Procurement Agent in the General Services Section.BASIC FUNCTION OF POSITIONAs part of the Procurement Team, incumbent will be responsible for all acquisition requirements for Department of State – Dar es Salaam and other related government agencies....
10 years ago
BBCSwahili05 Aug
Je unataka kuishi maisha marefu duniani ?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dYjajCWodmiJbsq7eeXmqiyRikmqenCK3JIEJHgmBb6HUxST05ZnjczVdNqFvYCEeXdJ08amRGc7d-VADsOKcG5/lv.jpg?width=650)
UNATAKA KUISHI KIMAPENZI? CHUKUA MUONGOZO HUU!- 2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcKpEu76Aegtjq2b29AimP7uVPcIS81BZa00lMZprsTjtaRtgAulxeBlnWHGAjGCaxJSKbbe9yFheFLy6aCCRmNO/lv.jpg?width=650)
UNATAKA KUISHI KIMAPENZI? CHUKUA MUONGOZO HUU!
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Unataka kuishi kwa amani na furaha? Haya yanakuhusu!
Kuna watu huko mtaani hawajui mtaji wa kuishi maisha ya furaha. Wapo wanaodhani ukishakuwa na fedha basi maisha umeyapatia.
Tambua kwamba, wapo watu wana pesa nyingi, wameoa wake wazuri, wana uwezo wa kufanya kila wanalotaka lakini bado maisha yao hayana amani, kwa nini? Kwa sababu hawajui nguzo za kujijengea maisha ya furaha na amani.
Wiki hii nimeona nikupe mambo 10 ambayo kama utayatimiza, utaishi maisha mazuri hapa duniani na pia maisha mazuri baada ya kifo (kwa wale tunaoamini kwamba...
10 years ago
CloudsFM26 Sep
WAZAZI IRINGA WAPIGWA MARUFUKU KUWARUHUSU WATOTO WAO KWENDA KUFANYA KAZI ZA ''HOUSE GIRL''
MBUNGE wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa Godfrey Mgimwa amepiga marufuku wazazi wa wanafunzi waliofanya mtihani wa taifa wa darasa la saba 2014 kuwaruhusu watoto wao kwenda mijini kufanya kazi za ndani (uyaya) kwa madai kuwa kazi hiyo ni aibu kubwa kwa wakazi wa mkoa wa Iringa.
Akizungumza katika mafahali ya darasa la saba katika shule ya msingi Kalenga na Kiponzelo jana mbunge Mgimwa alisema kuwa mkoa wa Iringa umekuwa ukisifika kwa kutoa wafanyakazi wa ndani jambo ambalo ni aibu na...
10 years ago
Bongo Movies15 Mar
Wastara Apata Dili Kufanya Kazi Nchini Marekani
Staa wa Bongo Movie, Wastara Juma amepata shavu la kwenda kufanya kazi nchini marekani akiwa pamoja na mtengenezaji filamu mahiri kabisa hapa Bongo, Timoth Conrad Kachumia.
Japo kuwa hakutaka kueleza ni lini watakwenda nchini humo na kampuni iliyowapa chavu hilo, kupitia ukursasa wake mtandaoni alibandika baadhi ya picha akiwa na watu ambao ndio wame wapa dili hilo na kuandika;
“Ukipata nafasi ya kufanya kazi kimataifa usiichezee,,one mistake hundred goal............kosa la defense ni...