Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZAZI IRINGA WAPIGWA MARUFUKU KUWARUHUSU WATOTO WAO KWENDA KUFANYA KAZI ZA ''HOUSE GIRL''

MBUNGE wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa Godfrey Mgimwa amepiga marufuku wazazi wa wanafunzi waliofanya mtihani wa taifa wa darasa la saba 2014 kuwaruhusu watoto wao kwenda mijini kufanya kazi za ndani (uyaya) kwa madai kuwa kazi hiyo ni aibu kubwa kwa wakazi wa mkoa wa Iringa. Akizungumza katika mafahali ya darasa la saba katika shule ya msingi Kalenga na Kiponzelo jana mbunge Mgimwa alisema kuwa mkoa wa Iringa umekuwa ukisifika kwa kutoa wafanyakazi wa ndani jambo ambalo ni aibu na...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wazazi Shule ya Sekondari St. Anne Marie waomba watoto wao waruhiswe kufanya mtihani wa Mock kidato cha Sita

Kiongozi wa wazazi na walezi wa wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie Adel Alex (katikati) akielezea kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mgogoro huo unaoendelea, kushoto ni Patricia Richard ambaye ni mlezi na kulia ni Dunstan Masingisa ambaye ni mzazi. Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie kufuatia vurugu zilizosababishwa na mwanafunzi mwenzao kupigwa shoka na mlinzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi Jamii wapigwa ‘stop’ kufanya kazi ya trafiki

Kutokana na tatizo la kukosa ajira nchini, baadhi ya vijana wameamua kujiajiri kwa kufanya kazi ya kuendesha pikipiki kusafirisha abiria maarufu bodaboda, baada ya kununua na wengine wakipatiwa na watu binafsi kwa makubaliano maalumu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazazi waaswa kuwalinda watoto wao

WAZAZI wametakiwa kuwapokea vizuri na kuwalea kwa maadili wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne wakati wakisubiri matokeo yao ya kwenda kidato cha tano. Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Wilaya...

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto 600 wapotezana na wazazi wao

>Zaidi ya watoto 600 wakimbizi kutoka Burundi wamepotezana na wazazi wao katika harakati za kukimbia nchi yao au kuhamishwa kutoka kambi moja kwenda nyingine mkoani Kigoma.

 

10 years ago

Habarileo

Wazazi wahimizwa kufuatilia watoto wao

WAZAZI wametakiwa kufuatilia nyendo za watoto ili kudhibiti kuporomoka kwa maadili kunakosababishwa na utandawazi.

 

9 years ago

Michuzi

WAZAZI WATAKIWA KUTOWAACHIA WATOTO WAO MITANDAO


Wanafunzi wa Shule ya New Ligh  ya chekechea ya Mji mdogo wa Mireani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwa kwenye mahafaliya kujiunga na darasa la kwanza kwenye shule hiyo
Na Woinde Shizza.WAZAZI na walezi nchini wametakiwa kutowaachia huru watoto wao kujihusisha na mitandao ya kijamii, kwani baadhi ya mitandao hiyo inachangia kwa kiasi kikubwa kubadili maadili yao na kusababisha wawe na tabia mbaya. 
Meneja wa shule ya msingi New Light ya mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani