Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZAZI WATAKIWA KUTOWAACHIA WATOTO WAO MITANDAO


Wanafunzi wa Shule ya New Ligh  ya chekechea ya Mji mdogo wa Mireani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwa kwenye mahafaliya kujiunga na darasa la kwanza kwenye shule hiyo
Na Woinde Shizza.WAZAZI na walezi nchini wametakiwa kutowaachia huru watoto wao kujihusisha na mitandao ya kijamii, kwani baadhi ya mitandao hiyo inachangia kwa kiasi kikubwa kubadili maadili yao na kusababisha wawe na tabia mbaya. 
Meneja wa shule ya msingi New Light ya mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la Usonji watakiwa kuwapenda watoto hao

Mama-Salma-Kikwete

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete.

Na Anna Nkinda – Maelezo

 Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la usonji (Autism) nchini wametakiwa kuwapenda, kuwatunza  na kuwapa mahitaji yao kama watoto wengine kwani ni makusudi na mapenzi ya Mwenyezi Mungu kuwapa watoto hao.

Mwito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati akiongea na walimu, walezi na wazazi wa watoto hao katika Shule ya Msingi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazazi waaswa kuwalinda watoto wao

WAZAZI wametakiwa kuwapokea vizuri na kuwalea kwa maadili wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne wakati wakisubiri matokeo yao ya kwenda kidato cha tano. Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Wilaya...

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto 600 wapotezana na wazazi wao

>Zaidi ya watoto 600 wakimbizi kutoka Burundi wamepotezana na wazazi wao katika harakati za kukimbia nchi yao au kuhamishwa kutoka kambi moja kwenda nyingine mkoani Kigoma.

 

10 years ago

Habarileo

Wazazi wahimizwa kufuatilia watoto wao

WAZAZI wametakiwa kufuatilia nyendo za watoto ili kudhibiti kuporomoka kwa maadili kunakosababishwa na utandawazi.

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI KUWAJIBISHWA KWA MATENDO HASI YA WATOTO WAO

 Chifu wa Ushirikishwaji wa Jamii wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Polisi Dodoma, Kamishna Msaidizi wa Polisi, SACP Engelbert  Kiondo akitoa mada mpango wa Polisi Kata kama mfumo wa utendaji wa kazi za Polisi kwa sasa wakati wa mkutano wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma, mkutano uliowahusisha pia Maafisa Tarafa, Wakaguzi wa Polisi wa Tarafa, watendaji wa Kata pamoja na Askari Polisi wa Kata. Kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya...

 

9 years ago

Global Publishers

Asilimia 49 ya wanaume Tanzania, si wazazi halali wa watoto wao

er
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.

Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.

watoto_html_7e868ee4“Kesi zinazopokelewa katika maabara yetu zinazohusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani