Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utaratibu mpya kudhibiti msongamano Dar

UTARATIBU mpya wa kudhibiti changamoto ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam uko mbioni kutangazwa. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Ofisa Mkuu Mtendaji wa Wakala...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Utaratibu mpya kudhibiti msongamano wa magari Dar njiani kutangazwa

Katika kile kinachoonekana kama nia thabiti ya kuzuia tatizo sugu la msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam, utaratibu mpya wa kudhibiti changamoto hiyo uko mbioni kutangazwa. Mara utakapotangazwa, kila anayehusika hasa madereva katika jiji hilo kubwa la biashara watatakiwa kuuheshimu na kuufuata. Akitangaza utaratibu huo mpya unaotarajiwa kuanza hivi karibuni, Afisa Mkuu Mtendaji wa Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART), Bi. Asteria Mlambo hatua hiyo inalenga kuondoa...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI NA KUHAKIKI NAMBA ZA SIMU ZA MKONONI KWA TEKNOLOJIA MPYA YA KYC KUPITIA SMARTPHONE LEO JIJINI DAR.

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma akifungua mkutano na waandishi wa Habari na kuzungumzia umuhimu wa kusajili namba za simu za Mkononi na Mfumo mpya wa kusajili namba na kuhakiki kutumia Teknolojia mpya ya Kielekroniki. Mwenyekiti wa umoja wa makampuni ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bwana Rene Meeza akitamka Rasmi Uzinduzi wa usajili mpya wa simu za mikononi kwa kutumia Teknolojia mpya ya kutumia smart phone...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kero la msongamano Dar es Salaam

Salim Kikeke ametembelea Dar es Salaam, na kushuhudia tatizo hilo, na suluhu inayotafutwa.

 

10 years ago

Habarileo

Reli Dar, suluhisho la msongamano

Treni ya TRL.WAKATI msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam ukiwa moja ya changamoto zinazozungumzwa zaidi na watangaza nia ya urais, huku wengi wakizungumzia ujenzi wa barabara za pete kuwa suluhisho, Rais Jakaya Kikwete amekuja na wazo jipya na ameanza kulifanyia kazi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola na utaratibu mpya wa Mazishi

Ugonjwa wa Ebola unahitaji hatua za haraka na umakini katika kuhifadhi miili ya watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.

 

10 years ago

Habarileo

Dk Dau ashauri tiba ya msongamano Dar

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk Ramadhani Dau amesema njia ya kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam ni kuzuia malori kuingia mjini kwa kujenga bandari kavu nje ya mji, akisema hilo likifanikiwa, msongamano unaweza kupungua kwa asilimia 40.

 

11 years ago

Habarileo

Sumatra yazindua utaratibu mpya wa mabasi

MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imezindua utaratibu mpya wa ratiba na vibao maalumu, vitakavyotumiwa na mabasi yanayotoa huduma ya usafiri kati ya Kilimanjaro na Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Barabara ya Goba, suluhu ya msongamano Dar es Salaam

MIAKA miwili iliyopita katika Jiji la Dar es Salaam, ilikuwa ni vigumu kumuuliza mtu swali la eneo la Goba lilipo, akakujibu kwa haraka, jibu rahisi walilokuwa nalo watu wengi ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Chanzo cha msongamano wa magari Dar chaelezwa

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amesema Jiji la Dar es Salaam lilipangwa mwaka 1912 na haliendani na ukuaji wa kiuchumi na ongezeko la watu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani