Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kero la msongamano Dar es Salaam

Salim Kikeke ametembelea Dar es Salaam, na kushuhudia tatizo hilo, na suluhu inayotafutwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Barabara ya Goba, suluhu ya msongamano Dar es Salaam

MIAKA miwili iliyopita katika Jiji la Dar es Salaam, ilikuwa ni vigumu kumuuliza mtu swali la eneo la Goba lilipo, akakujibu kwa haraka, jibu rahisi walilokuwa nalo watu wengi ni...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kero la msongamano wa magari TZ

Wiki hii Haba na Haba inaangazia tatizo la msongamano wa magari TZ

 

10 years ago

Michuzi

Trilioni Moja kutumika kupunguza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam.

Na Anitha Jonas - MAELEZO.
SERIKALI imedhamiria kupunguza msongamano wa magari  ndani ya jiji la Dar es Salaam kwakujenga barabara sita zitakazo ambazo ujenzi wake utasimamiwa na TANROADS. Ujenzi huo unatarajiwa kugharimu sh. trilioni moja ambapo lengo barabara hizo ni  kupunguza adha ya msongamano wa magari  katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es saalam.
Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Reli Dar, suluhisho la msongamano

Treni ya TRL.WAKATI msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam ukiwa moja ya changamoto zinazozungumzwa zaidi na watangaza nia ya urais, huku wengi wakizungumzia ujenzi wa barabara za pete kuwa suluhisho, Rais Jakaya Kikwete amekuja na wazo jipya na ameanza kulifanyia kazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utaratibu mpya kudhibiti msongamano Dar

UTARATIBU mpya wa kudhibiti changamoto ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam uko mbioni kutangazwa. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Ofisa Mkuu Mtendaji wa Wakala...

 

10 years ago

Habarileo

Dk Dau ashauri tiba ya msongamano Dar

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk Ramadhani Dau amesema njia ya kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam ni kuzuia malori kuingia mjini kwa kujenga bandari kavu nje ya mji, akisema hilo likifanikiwa, msongamano unaweza kupungua kwa asilimia 40.

 

11 years ago

Mwananchi

Chanzo cha msongamano wa magari Dar chaelezwa

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amesema Jiji la Dar es Salaam lilipangwa mwaka 1912 na haliendani na ukuaji wa kiuchumi na ongezeko la watu.

 

10 years ago

Michuzi

JK ataja hatua saba za kupunguza msongamano wa magari Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametaja hatua saba ambazo Serikali yake imeanza kuzichukua ama inakusudia kuzichukua ili kukabiliana na msongamano wa magari katika Jiji la Dar Es Salaam.Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa msongamano wa magari ni ishara ya ubora wa maisha ya wananchi na ustawi wa Watanzania kwa sababu miaka 20 ama hata 10 iliyopita, Jiji la Dar Es Salaam halikuwa na msongamano. “Sasa kila mtu ana gari, naambiwa nyumba nyingine zina...

 

11 years ago

Michuzi

Utaratibu mpya kudhibiti msongamano wa magari Dar njiani kutangazwa

Katika kile kinachoonekana kama nia thabiti ya kuzuia tatizo sugu la msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam, utaratibu mpya wa kudhibiti changamoto hiyo uko mbioni kutangazwa. Mara utakapotangazwa, kila anayehusika hasa madereva katika jiji hilo kubwa la biashara watatakiwa kuuheshimu na kuufuata. Akitangaza utaratibu huo mpya unaotarajiwa kuanza hivi karibuni, Afisa Mkuu Mtendaji wa Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART), Bi. Asteria Mlambo hatua hiyo inalenga kuondoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani