Walinzi Chadema mbaroni
Na Pendo Fundisha, Mbeya
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambao ni vijana wa kikosi cha ulinzi cha chama hicho (Red Brigade), wakidaiwa kuwa na sare za jeshi na silaha zikiwamo za jadi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema vijana hao walikamatwa juzi jioni katika eneo la Sogea wilayani Momba, baada ya kutolewa taarifa na raia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Polisi wawakamata walinzi wa Chadema
NA PENDO FUNDISHA, MBEYA
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni miongoni mwa vijana wa kikosi cha ulinzi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), red brigade.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema mjini hapa jana kwamba vijana hao ni kati ya waliokuwa wamevaa nguo nyeusi, kofia na viatu vyeusi wakati wa mapokezi ya mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa mjini Mbeya wiki iliyopita.
Kwa mujibu wa Kamanda Msangi, vijana hao...
9 years ago
StarTV20 Aug
Walinzi wa CHADEMA Walioongoza Msafara wa Lowassa Jijini Mbeya Watakiwa Kujisalimisha Polisi Kwa Ajili ya Mahojiano
9 years ago
Habarileo30 Nov
Diwani Chadema mbaroni
DIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kata ya Mbuga, tarafa ya Mwaya wilayani Ulanga mkoani Morogoro, Mussa Madona, na wenzake sita wametiwa mbaroni na Polisi na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba sita za wananchi wa kijiji cha Iputi.
9 years ago
Habarileo18 Sep
Wafuasi wa Chadema mbaroni
WATU wawili wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Goodluck Hamandi (26), mkazi wa Mtoni na Fulgence Shayo (18) mkazi wa Mazimbu katika Manispaa ya Morogoro mkoani hapa, wamekamatwa na polisi wakituhumiwa kufanya fujo.
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Madiwani Chadema mbaroni
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Viongozi wa Chadema Dar mbaroni
![Dk. Wilbrod Slaa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Slaa.jpg)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
Na Waandishi wetu
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam jana, liliwakamata viongozi na wafuasi 11 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es Salaam.
Wafuasi hao walikamatwa jana asubuhi walipojaribu kufanya maandamano ya kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Said Meck Sadiki kwa nia ya kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalum la Katiba linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.
Wafuasi hao ambao walifika saa 12 asubuhi wakitokea...
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Wanne mbaroni mauaji ya kigogo Chadema
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Mbaroni kwa tuhuma za kuilipua Chadema
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Wanne mbaroni kwa kuichagua CHADEMA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na uongozi wa Kijiji cha Nyamihundu Kata ya Nzihi kimewakamata vijana wanne kwa tuhuma za kukipigia kura Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Hayo...