Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa Chadema Dar mbaroni

Dk. Wilbrod Slaa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa

Na Waandishi wetu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam jana, liliwakamata  viongozi na wafuasi 11 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es Salaam.

Wafuasi hao walikamatwa jana asubuhi walipojaribu kufanya maandamano ya kuelekea ofisi  ya  Mkuu wa Mkoa, Said Meck Sadiki kwa nia ya kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalum la Katiba linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.

Wafuasi hao ambao walifika saa 12 asubuhi wakitokea...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MBOWE AZINDUA PROGRAMU YA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA CHADEMA JIJINI DAR

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiwasili katika Ukumbi wa PTA, Temeke jijini Dar kuzindua programu ya mafunzo kwa viongozi wa Chadema. Washiriki wa mafunzo ya timu za kampeni za uchaguzi mkuu kwa viongozi wa chama na serikali za mitaa wanaotokana na Chadema wakiwa tayari kuanza programu hiyo. Viongozi wa Chadema…

 

11 years ago

Michuzi

Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema

 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga...

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa kijiji Bashnet mbaroni

Polisi mkoani Manyara wanawashikilia watu watatu wakazi wa Wilaya ya Babati, akiwemo Diwani wa Kata ya Bashnet (Chadema), kwa madai ya kufanya uchochezi na kufunga ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Bashneti ili itumike kama ofisi ya kijiji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi Kilindi mbaroni wakidaiwa kushawishi mapigano

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Kibirashi, wilayani Kilindi, Yussuph Mwegango na viongozi wenzake wanne wa ngazi ya vitongoji, vijiji, kata na tarafa wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kushawishi...

 

9 years ago

Habarileo

Wafuasi wa Chadema mbaroni

WATU wawili wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Goodluck Hamandi (26), mkazi wa Mtoni na Fulgence Shayo (18) mkazi wa Mazimbu katika Manispaa ya Morogoro mkoani hapa, wamekamatwa na polisi wakituhumiwa kufanya fujo.

 

9 years ago

Mwananchi

Madiwani Chadema mbaroni

Madiwani wawili wa chama cha demakrasia na maendeleo (Chadema), wanahojiwa na Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma zinazoangukia katika makosa ya jinai.

 

10 years ago

Mtanzania

Walinzi Chadema mbaroni

IMG-20150426-WA0004Na Pendo Fundisha, Mbeya

JESHI la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambao ni vijana wa kikosi cha ulinzi cha chama hicho (Red Brigade), wakidaiwa kuwa na sare za jeshi na silaha zikiwamo za jadi.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema vijana hao walikamatwa juzi jioni katika eneo la Sogea wilayani Momba, baada ya kutolewa taarifa na raia...

 

9 years ago

Habarileo

Diwani Chadema mbaroni

DIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kata ya Mbuga, tarafa ya Mwaya wilayani Ulanga mkoani Morogoro, Mussa Madona, na wenzake sita wametiwa mbaroni na Polisi na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba sita za wananchi wa kijiji cha Iputi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanne mbaroni kwa kuichagua CHADEMA

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na uongozi wa Kijiji cha Nyamihundu Kata ya Nzihi kimewakamata vijana wanne kwa tuhuma za kukipigia kura Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Hayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani