Madiwani Chadema mbaroni
Madiwani wawili wa chama cha demakrasia na maendeleo (Chadema), wanahojiwa na Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma zinazoangukia katika makosa ya jinai.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Madiwani CHADEMA wafunza wenzao
MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma, wamewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuachana na siasa za maji taka na wajikite kutatua umasikini wa Watanzania....
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Madiwani CHADEMA wasusia kikao
MADIWANI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Nkasi, wamelazimika kutoka nje ya kikao cha Baraza la madiwani baada ya kupishana kauli kati yao na wenzao wa Chama cha...
10 years ago
Mtanzania06 Feb
Pinda: Uamuzi wa madiwani Chadema umeshatolewa
![Waziri Mkuu Mizengo Pinda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Waziri-Mkuu-Mizengo-Pinda-300x197.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Na Debora Sanja, Dodoma
UAMUZI kuhusu hatma ya madiwani watatu wa Chadema katika Manispaa ya Ilemela waliofukuzwa na Meya wa Manispaa hiyo, Henry Mtata, umekwisha kutolewa.
Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati akijibu swali la Mbunge wa Ilemelea, Highness Kiwia (Chadema) wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu.
Katika swali lake, Kiwia alitaka kujua lini madiwani watatu wa Manispaa ya Ilemela waliofukuzwa...
11 years ago
Habarileo28 Feb
Madiwani waliohama Chadema waingia CCM
MADIWANI waliojiuzulu na kuamua kuondoka katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao ni Sebastiani Peter na Zacharia Mfuko wamejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na uongozi wa mkoa wa chama hicho.
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Madiwani wawili Chadema wahamia CCM
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Madiwani Chadema wasusia kikao Moshi
11 years ago
Mwananchi09 Feb
CCM, Chadema kupambana leo uchaguzi wa madiwani
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Madiwani watano Chadema kuwania umeya Arusha