Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM, Chadema kupambana leo uchaguzi wa madiwani

Uchaguzi wa madiwani katika Kata za Malindo wilayani Rungwe na Santiliya katika Wilaya ya Mbeya Vijijini, unafanyika leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Chadema kimeshindwa kwa mengi uchaguzi madiwani

>Wapo wanaosema uchaguzi mdogo uliofanyika Februari 8 mwaka huu katika kata 27 zilizopo ndani ya mikoa 15 nchini umepeleka chereko CCM na majonzi Chadema.

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani waliohama Chadema waingia CCM

MADIWANI waliojiuzulu na kuamua kuondoka katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao ni Sebastiani Peter na Zacharia Mfuko wamejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na uongozi wa mkoa wa chama hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Madiwani wawili Chadema wahamia CCM

Madiwani wawili wa Chadema kutoka Kata ya Ngokolo, Sebastian Peter na wa Kata ya Masekelo, Zacharia Mfuko zilizopo Shinyanga Mjini wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga CCM.

 

5 years ago

Michuzi

CCM WILAYA YA ILALA YAVUNA MADIWANI SITA WA CHADEMA

 Aliyekuwa Diwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Kata ya Segerea Edwin Mwakatobe  akikabidhi kadi ya CHADEMA jana  19/2020 kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala Ubaya Chuma  (PICHA NA HERI SHAABAN)
Wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Ilala wakifatilia kikao cha Kamati ya siasa Juni 19/2020(PICHA NA HERI SHAAABAN)
 Na Heri Shaaban

CHAMA CHA Mapinduzi CCM Wilaya ya Ilala kimepokea waliokuwa madiwani sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)TLP na ACT katika kikao...

 

5 years ago

Michuzi

Chadema wadai kutostushwa na madiwani wao kutimkia CCM


Na Amiri kilagalila,Njombe Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Njombe kimesema hakijashtushwa na taarifa za Madiwani wao watatu wa wilaya ya Makete kutangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi CCM kwa kuwa walishakuwa na taarifa za kuwa wamekuwa wakitishwa kwa muda mrefu. Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe Rose Mayemba amesema kuwa licha ya madiwani hao kutotoa sababu hizo hadharani lakini kama chama kilishapata taarifa hizo kwa muda mrefu kwamba wamekuwa...

 

11 years ago

GPL

BAADHI YA MATOKEO UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI LEO

CHADEMA WAMESHINDA: Sombetini Arusha, Kata ya Njombe Mjini, Kata ya Kiboriloni Kilimanjaro, Kata ya Partimbo na Kata ya Loolera zote za Kiteto! CCM WAMESHINDA: Kata ya Tungi Morogoro, Kata ya Kiomoni Tanga na Kata zote tatu za mkoa wa Iringa!

 

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA YAGARAGAZWA NA CCM KESI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Mahakama ya Wilaya ya Iringa imetoa hukumu ya kutengua matokeo ya mitaa 13 kutoka Manispaa ya Iringa ili kufanya uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa kutokana na kasoro kadhaa zilizojitokeza katika uchaguzi uliofanyika Desemba 14 mwaka 2014.
Hukumu hiyo ilitolewa jana mbele ya mahakamu wakazi wanne ambao ni Andrew Scout, John Mpitanjia, E. Nassoro na Isaya, waliokuwa wanaendesha kesi hizo katika Mahakama ya Wazi ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Iringa.
Chama cha Mapindizi (CCM) kulifungua kesi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani